Yanga Sc 2-2 KMKM | Mapinduzi Cup | Zanzibar

Wasiwasi wangu ni kwamba tunaweza tukawa tumeshamkosa huyo [emoji23]
Sijajua lengo lake lilikua ni nini pale kumvuta hersi shingo huku akipeleka mdomo wake

Yaani kaniacha na maswali mengi, nimefikiria na kuwaza naona kama kabwili alionewa tu
 
Sijajua lengo lake lilikua ni nini pale kumvuta hersi shingo huku akipeleka mdomo wake

Yaani kaniacha na maswali mengi, nimefikiria na kuwaza naona kama kabwili alionewa tu
Kabwili mwenyewe alisema kawaacha wengi sana hapo utopoloni.
 
mimi ni simba damu ila ukwele usemwe goli la fei ni hatari dogo anajua sana
 
Napenda sana Wazanzibar wanavyocheza mpira na mm ni muumini mzuri wa mpira wao

The likes of Mudathir Yahya, Nadir Haroub, Aggrey Morris, Feisal Salum,
 
Ukiona timu impata goli halafu inaharakisha kuupeleka mpira kati, ujue inataka kufunga goli lingine tena 😂



 
Moderator mngetoa hiki kitaa chekundu kinaniumiza macho tu afu ukicheki switch ndio ipo kule juu na hatufikii tungweza kukizima na ngazi ndo mnayo nyinyi
 
Katiba haijataja Michezo kuwa ni sehemu ya mambo ya Muungano.

Hivyo hata hili kombe la Muungano timu zinashiriki kwa kuteuliwa tu, Timu inaweza kukataa kushiriki na maisha yakaendelea.
Basi huu muungano una matatizo
 
Ifahamike tu kuwa Yanga imecheza na anayeongoza ligi ya Zanzibar
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…