Yanga Sc 2-2 KMKM | Mapinduzi Cup | Zanzibar

Kosa ni la beki Jecha wa KMKM hakukaba alitaka akabe nani?Akaruhusu cross kwenda golini
Na ufundi wa makambo nao uzungumziwe maana angekuwa mwingine aliweza kuukosa ule mpira
 
Hili goli walofungwa utopolo unaombea mkopo wa riba nafuu benki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…