Yanga Sc 2-2 KMKM | Mapinduzi Cup | Zanzibar

Wew ni kolo usiejitambua, watu km wewe ndio mwenyekiti wetu mstaafu Ndugu Aden Rage aliwaita mbumbumbu
Inamaana umesahau kuwa kauli mbiu ni "Daima.....Nyuma mwiko" ?

Ngoja nije nikusokomeze huo mwiko vizuri, maana hutaki niuchomoe.
 
Mwangalieni manara lakini jamani
 
Uto vp tena,, au ndo hao wazenji tangu wasikie nyie mna ukabwili basi ndo hawataki kuwaachia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…