Alexander Lukashenko
JF-Expert Member
- Sep 9, 2017
- 4,140
- 9,667
Tozo FC hali yao vipi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inamaana umesahau kuwa kauli mbiu ni "Daima.....Nyuma mwiko" ?Wew ni kolo usiejitambua, watu km wewe ndio mwenyekiti wetu mstaafu Ndugu Aden Rage aliwaita mbumbumbu
82 Feisal MessHahaha dakika ya 81
Yanga 1
Kmk 1
Unamaanisha huyu ?? [emoji23][emoji23]Tangu mechi ya kwanza alionekana, yeye pamoja na yule chura mwingine (Ninja) wanapaswa kuwa jukwaa moja na akina Cheka.
Akilala chini na hilo pozi, sio chura?Unamaanisha huyu ?? [emoji23][emoji23]View attachment 2072291
Sijaelewa alitaka kumpiga busu au ??Mwangalieni manara lakini jamani
[emoji23][emoji23]Akilala chini na hilo pozi, sio chura?
Hawanaga fair play ,nguvu nyingi bila akiliTangu mechi ya kwanza alionekana, yeye pamoja na yule chura mwingine (Ninja) wanapaswa kuwa jukwaa moja na akina Cheka.
Tulia wewe mbumbumbu, kawasaidie kuchomoa kmkmInamaana umesahau kuwa kauli mbiu ni "Daima.....Nyuma mwiko" ?
Ngoja nije nikusokomeze huo mwiko vizuri, maana hutaki niuchomoe.
InaonekanaMapato yatapungua