Yanga Sc 2-2 KMKM | Mapinduzi Cup | Zanzibar

Yanga Sc 2-2 KMKM | Mapinduzi Cup | Zanzibar

Wew ni kolo usiejitambua, watu km wewe ndio mwenyekiti wetu mstaafu Ndugu Aden Rage aliwaita mbumbumbu
Inamaana umesahau kuwa kauli mbiu ni "Daima.....Nyuma mwiko" ?

Ngoja nije nikusokomeze huo mwiko vizuri, maana hutaki niuchomoe.
 
Tangu mechi ya kwanza alionekana, yeye pamoja na yule chura mwingine (Ninja) wanapaswa kuwa jukwaa moja na akina Cheka.
Unamaanisha huyu ?? [emoji23][emoji23]
Screenshot_20220106-155807_1.jpg
 
Uto vp tena,, au ndo hao wazenji tangu wasikie nyie mna ukabwili basi ndo hawataki kuwaachia
 
Back
Top Bottom