Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Siku hz anachezea buguruni United?Makambo hizi ndo mechi zake
Kwani we unaonaje ??Siku hz anachezea buguruni United?
Katiba haijataja Michezo kuwa ni sehemu ya mambo ya Muungano.Kwanini timu za Zanzibar hazichezi ligi kuu ya Tanzania?
Napenda namna utamaduni wa mpira wao ulivyoIla tukubali tukatae, timu za Zanzibar ni dhaifu sana.
Ila ndo hivyo, timu zao ni dhaifu mno. Timu kama namungo ukiileta kwenye ligi ya Zanzibar itachukua ubingwa back to back.Napenda namna utamaduni wa mpira wao ulivyo
Hakuna kubutua