mwarabu feki
JF-Expert Member
- Feb 16, 2023
- 811
- 1,811
AaahaaaaTumesajili Majembe Wao Wamesajili laini...
Wamekuja kishtuka kikombe thelathini...
BALAA TUPU...
ℍ𝕦𝕞𝕦 𝕥𝕦 [emoji172][emoji169][emoji2960]
Hauwezi kuelewa [emoji81][emoji81][emoji81][emoji81]Mi sijaelewa,
Kama wanakabiziwa kwenye mechi na Tabora utd, hili wanalozungusha angani na chopa wamelitoa wapi.
Au sielewi
Utaelewaje na wew ni Mbumbumbu fcMi sijaelewa,
Kama wanakabiziwa kwenye mechi na Tabora utd, hili wanalozungusha angani na chopa wamelitoa wapi.
Au sielewi
Wameshaanza kuonyesha azam tv?😁😂😂😂😂 Leo naangalia nyumbani huku kigamboni kaka
Mpaka saa 11 :00 AMWameshaanza kuonyesha azam tv?
Picha mbona umeweka thumbnail, wanaonekana kama Yanga fekiLeo ndio ile siku ya mabingwa wa nchi Yanga Afrika kukabidhiwa kombe la ubingwa wa ligi ya Nbc.
Ikumbukwe huu ni ubingwa wa 30 kwa Yanga Afrika...
Kuwa nami paka mwisho ili kujua kile kinachojili kuanzia shamrashamra za kulitembeza kombe kwenye viunga mbalimbali vya jiji la DareSalaam paka hapo saa kumi ambapo ndio mchezo huu utaanza..