Huwa inafika saa unatamani kuchapa watu makofi wakisema wao yanga
Temeke TU inaweza kuujaza ule uwanja imagine Mwamposa aliujaza pomoni tena usiku kwa buku na hamasa yote Ile Jiji Lina watu 5ml wamekosekana mashabiki 60 elfu kupiga full house
Tumekaa kumsifia GSM pasi na kutoa full support
Una haki ya kushangaa na ili ushangae zaidi angalia Cairo international mda huu ujue maana ya ushabiki
Eti watakwambia wamezoe so mzuka umepungua si unafiki huo
Hao Ahly wanachukua Kila Leo makombe na ni full house daily afu hapa shabiki wa yanga anataka aje kubebwa na special hire ndio aende kujaza ki uwanja Cha 60000 capacity