Shadow7
JF-Expert Member
- Sep 28, 2020
- 24,606
- 39,289
Nikamsaidie kufanyeje?Kamsaidie kidogo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nikamsaidie kufanyeje?Kamsaidie kidogo.
WametuangushaILA WANANCHI WAMEPOA SANA APO UWANJANI WENGINE WAMEZUBAAA KAMA VILE HAWAJUI KUSHANGILIA
SHENZI
Pole sana mkuu we tulia na LucasMoyo umeniuma basi tena,!
Kikubwa asalie kikosiniYani kazi ipo😂
Niache mkuuPole sana mkuu we tulia na Lucas
Kamsaidie kid
Aah nilikuwa namwambia huyu ephen sorry.Nikamsaidie kufanyeje?
Pacome nimeona ana idle tu hana mtu. Nikufanyie mpango??Niache mkuu
Mkuu! NiachePacome nimeona ana idle tu hana mtu. Nikufanyie mpango??
Ameshaachana na VANESSA tena!!??AZIZI NA MOBETO 🤣
Tushaconfirm
Khee!Toka lini Mobeto akawa mwarabu!?Yuko bize na demu wake mwarabu we tulia kidogo
Atakabidhiwa kesho peke yakeGuede mbona simuoni hapa mbele kwenye kukabidhiwa kombe😞
😃😃Mkuu! Niache
Moyo unaniuma nimezima tv yenyewe
Guede basi tena, kumbe ana pisi yake chotara😣Atakabidhiwa kesho peke yake
Una vituko we toto la kihaya.Moyo unaniuma nimezima tv yenyewe
Guede basi tena, kumbe ana pisi yake chotara😣
Guede basi tena, kumbe ana pisi yake chotara😣
Hahaha... Nilikuambia naenda kilingeni, utakubali mapigo tu😃😃Moyo unaniuma nimezima tv yenyewe
Guede basi tena, kumbe ana pisi yake chotara😣
Una vituko we toto la kihaya.
Hahaha... Nilikuambia naenda kilingeni, utakubali mapigo tu😃😃
Nyie mnadhani masikhara! Nipo serious mwenzenuKumbe je