Yanga SC 3-0 Tabora United | NBC Premier League | Benjamin Mkapa Stadium | 25.05.2024

Yanga SC 3-0 Tabora United | NBC Premier League | Benjamin Mkapa Stadium | 25.05.2024

Wananchiiii! 👏👏👏❤️❤️❤️

IMG-20240525-WA0063.jpg
IMG-20240525-WA0062.jpg
IMG-20240525-WA0064.jpg
IMG-20240525-WA0065.jpg
 
Leo ndio ile siku ya mabingwa wa nchi Yanga Afrika kukabidhiwa kombe la ubingwa wa ligi ya Nbc.
Ikumbukwe huu ni ubingwa wa 30 kwa Yanga Afrika.

Kuwa nami paka mwisho ili kujua kile kinachojili kuanzia shamrashamra za kulitembeza kombe kwenye viunga mbalimbali vya jiji la DareSalaam paka hapo saa kumi ambapo ndio mchezo huu utaanza.

View attachment 2998801


View attachment 2999194
Kikosi cha Yanga kilichoanza
= kinachojiri

Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?
 
Back
Top Bottom