EricMan
JF-Expert Member
- Oct 5, 2017
- 3,050
- 5,420
hata mm wamkoan nmeshangaa sanaYanga team nzuri sana kitu imekosa ni mashabiki
Sijawahi ona mashabiki wanaodeka duniani kama Yanga imagine hadi Sasa tiketi za 1000 sio sold out
Mi ni Yanga ila mashabiki wa Yanga Wana la kujifunza sana kwa Simba