Shadow7
JF-Expert Member
- Sep 28, 2020
- 24,606
- 39,289
Uzi Haupo kwenye trending threadMimi Mbona nipo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uzi Haupo kwenye trending threadMimi Mbona nipo
Mjue alipo kosa Mara ya pili nikaona engineer hersi karusha mkono😂😂😅 kidogo ampige Kofi RAISI wa TFF KARIA😅😅Basi wamtafutie demu awe anashtua mara moja moja
Ngoja Nika uchokoze chokozee😂😂😅Uzi Haupo kwenye trending thread
Jamaa ajiangalie sana anatia watu preshaMjue alipo kosa Mara ya pili nikaona engineer hersi karusha mkono😂😂😅 kidogo ampige Kofi RAISI wa TFF KARIA😅😅
Nakuja hapa nasubiri Aziz ki afunge nihamie kwa mwasibuNgoja Nika uchokoze chokozee
Dua yangu asifungeeNakuja hapa nasubiri Aziz ki afunge nihamie kwa mwasibu
Shindwaa Azam mwenyewe kashikiliwa hukoDua yangu asifungee
Kagera wamekazaShindwaa Azam mwenyewe kashikiliwa huko
Azam wamepata goli na kuchomolewa hapo hapoKagera wamekaza
KivipiYanga wanabebwa
Hata Mimi sijuiKivipi
Wanabebwaje wakati wamechukua ubingwa wakiwa bado na mechi 3 mkononi?Yanga wanabebwa
nenda kwenye uzi wako uko msaidiane kupata nafasi ya piliYanga wanabebwa
Enjoy game broHata Mimi sijui
Achana na uyo Mandazi yanamleweshaWanabebwaje wakati wamechukua ubingwa wakiwa bado na mechi 3 mkononi?