Aisee nimecheka sana mkuuHamna ile pisi ni nzuri sana
Inamfaa Guede, acha nitulieπ
Asante kwa kunizidishia maumivuπ£Aisee nimecheka sana mkuu
Kwani Guede anajua kubembeleza kina mwantunu!?Nyie mnadhani masikhara! Nipo serious mwenzenu
Tuache habari za GuedeπKwani Guede anajua kubembeleza kina mwantunu!?
Sisi tupo tunaweza kupooza machungu.Tuache habari za Guedeπ
Atakuwa mturuki kampatia Turkey alikokuwa anacheza kabla ya Yanga.Nimemuona yupo na mdada mweupe mzuri sanaaaa sijui ndo mke wakeπ
Yaishe basii....!Atakuwa mturuki kampatia Turkey alikokuwa anacheza kabla ya Yanga.
Aiseee chuma hikooo!
Mbona sura sio ya kituruki!?Titicomb kasema itakua mturuki alipokuepo Guede mwanzo
We nae ebu huko!!!Mbona sura sio ya kituruki!?
Sura ya ushelisheli kabisa hiyo.
Tizama pua na rangi.
Yule binti aliyekua na GuedeKhee!Toka lini Mobeto akawa mwarabu!?
Pole sana mkuuMkuu! Niache
πππNimeliona hilo..!
Tusahau yaliyopita tugange yajayoπ