Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa hiyo mtu akiongea ukweli inageuka kuwa chuki?Wewe sio yanga wewe ni simba unataka kujenga chuki zidi ya mayele
Ila Tambuwa mayele ndiye kasawazisha Red card mayele ndiye kasawazisha penalti utasema nini juu yake
Acha kujenga chuki my bro
Simba inajifanya inafata protocolssimba tunalo la kujifunza kutoka yanga.
kama hamtoona basi kamwe hamto badilika.
Clean sheet ni ushindi.Simba ni timu pekee yenye cleansheet
Kama vile wanakijani tunalo lakujifunza kutoka Kwa mahasimu wetu tunaowanyanyasa kila uchao.simba tunalo la kujifunza kutoka yanga.
kama hamtoona basi kamwe hamto badilika.
Lipi ?simba tunalo la kujifunza kutoka yanga.
kama hamtoona basi kamwe hamto badilika.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kama vile wanakijani tunalo lakujifunza kutoka Kwa mahasimu wetu tunaowanyanyasa kila uchao.
Akuna ukweli wowote pale nenda huangalie machi vizuri ndo uje utowe commentKwa hiyo mtu akiongea ukweli inageuka kuwa chuki?
Hadi marefa wa CAF champion league siyo?Nyie mikia kaeni kimya kabisa... Mo wenu aliinunua TFF mpaka marefa wotte kwa zaidi ya miaka minne..
Pigeni kimya kabisaaa..
Ndiyo definition ya utopoloni? Basi Eyemel alikuwa sahihi 100%Clean sheet ni ushindi.
Precisely..
Na bado, msimu huu huu hamna chenu!Bidii za GSM tunaziona.
Nimeona huu ujinga wa Simba kushangilia clean sheet badala ya kushangilia point tatu. Unayeruhusu goli huku amepata alama tatu ni mbora zaidi kuliko aliyetoa sare ya bila kufunganaSimba ni timu pekee yenye cleansheet
Kujifariji kunaondoa msongo.Nimeona huu ujinga wa Simba kushangilia clean sheet badala ya kushangilia point tatu. Unayeruhusu goli huku amepata alama tatu ni mbora zaidi kuliko aliyetoa sare ya bila kufungana
Kwa hiyo mtu akiongea ukweli inageuka kuwa chuki?
Achana nao hao..
Wewe kweli ni Maisha magumu kama ilivyo I'd yako. Kitu kidogo kama typing error unataka kukikomalia?Beyern ndio timu gani