Yanga sc 3-1 Ruvu shooting | ligi kuu | Benjamin Mkapa

Yanga sc 3-1 Ruvu shooting | ligi kuu | Benjamin Mkapa

Wewe sio yanga wewe ni simba unataka kujenga chuki zidi ya mayele
Ila Tambuwa mayele ndiye kasawazisha Red card mayele ndiye kasawazisha penalti utasema nini juu yake
Acha kujenga chuki my bro
Kwa hiyo mtu akiongea ukweli inageuka kuwa chuki?
 
Nimeona huu ujinga wa Simba kushangilia clean sheet badala ya kushangilia point tatu. Unayeruhusu goli huku amepata alama tatu ni mbora zaidi kuliko aliyetoa sare ya bila kufungana
Kujifariji kunaondoa msongo.
 
Kwa hiyo mtu akiongea ukweli inageuka kuwa chuki?
1635875675124.png
 
Fanyeni ku-screenshot msimamo wa ligi kabla mambo hajawa mabaya huko mbeleni.
 
Back
Top Bottom