Yanga SC 4-0 Dodoma Jiji | Benjamini Mkapa | Ligi kuu NBC

Wooow what a turn!, fiston mayele, anapiga shuti kipa akaiona.
 
This was supposed to be a penalty, saidoo alikwatuliwa mguu ila refa ni kama alikua mbali mno kuona.
 
Saidoo kwa mara nyingine tena anakosa nafasi ya wazi
 
YANGA chama kubwa pambaneni muwachape hao wagogo mara moja.
 
Kipa Wa Dodoma Jiji Anafanya Kazi Nzuri hapa Kuokoa Shoot kali la Mayele
 
Huyu line one ni kama hayupo mchezoni, ameamuru faul kuelekea yanga ambapo haikua faul kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…