Yanga SC bhana! Hivi kulikuwa na ulazima wowote ule kwa Hadhi yenu Kucheza Mechi ya Kirafiki na Friends Rangers na Kushinda 3 - 1?

Umejaribu kuedit ila kwa kuwa ni mbumbumbu bado unakosea tu mara umeweka Zanaco alafu hapo hapo ukaweka sijui beki wa Zesco bado kuna umbumbumbu mwingi sana kwenye huu uzi
 
Content imejaa mashudu ndo mana lazima ijadiliwe ili urekebishe
 
Zesco ipi ilicheza na yanga mkuu?? Ukiona hujui na hutaki kujua bora unyamaze kuliko kujiahibisha
 
Lakini pamoja na kutokujua yanga alicheza na timu gani jaribu kurudi nyuma na jiulize miaka 3 iliyopita kombe la Azam ulitolewa na timu ya daraja la ngapi na ukipata majibu basi jipige kifua mbele na kusema wewe ni mjinga na mbumbumbu.
 
Mzee baba me sio Yanga labda tu unijui japo me ni Mwanasimba mwenzako lakini ndungu yangu siwezi kuunga mkono kwa kila jambo eti kwa sababu ni mshabiki mwenzangu Sina ushabiki wa namna hiyo I tell you truth umeandika rubbish
 
Kukosea kwa binadamu kupo sawa, vipi yanga kufungwa na Zanaco nini cha ajabu au yanga wachezaji sio binadamu?? Kumbukeni kombe la Azam mwaka 2017,2018 mlitolewa na za daraja gani??
 
Huyu hapa ni bilionea wapili duniani na hii ni recent post yake huko instagram

View attachment 1921564

Na hakika bajeti ya msosi wa mbwa wa billgate kwa miezi 6 ni zaidi ya thamani ya pesa aliyowekeza GSM hapo dimbwini

Naona umeamua kuwamaliza kabisa,haya Utopolo Bill Gate ana Account Instagram! Mwambieni Manara huko maana anajiona mjuaji wa kila kitu,au GSM ni Tajiri zaidi kuliko Bill Gate [emoji2957][emoji2957][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
All in all, ujumbe wa mleta thread nadhan kila mtu kaelewa intention yake, mimi ni shabik wa yanga na namuunga mkono hatuwez kucheza na friends ranger kwa ajili ya maandaliz ya CL hapo hatutagain chochote..simba walianzisha super cup tumeona ilivyowasaidia kwenye CL..ni muda sasa wa viongoz wa yanga kufanya mambo kwa kuangalia mbali..YANGA NI TEAM KUBWA
 
Maandalizi ya cahmpions league mkuu...
Ya kucheza na Friends Rangers FC ya Magomeni? Hivi Bondia Antony Joshua akiwa anajiandaa Kupambana na Tyson Furry anatakiwa kuja Kucheza Mpambano wa Kirafiki ( Kujipima ) na Dulla Mbabe wa Tanzania?
 
Sikujua kuwa japo nawadharau mno Mashabiki wa Yanga SC kumbe wapo ambao ni very Intelligent and Factual kama Wewe. Hongera Kwako na Asante kwa Kunielewa na Kuelewa pia Dhumuni langu na Ujumbe muhimu.
 
Wewe umevurugwa sio bure, kuna siku yanga itakuua kifo cha taratibu maana sio kwa gubu ilo ulilonalo, ata aujui mambo ya kiufundi yanayotakiwa na kocha unapuyanga tu Kama mlevi wa kimpumu,,,mambo ya yanga waachie wanayanga wenyewe bwana nenda kanunue jezi kwa vunja price keshazimwaga mtaani tokea jana watu wanasagula sagula ukinunua moja unaongezewa nyingine moja ya bure,,,
 
Kafatilie mechi za pre season za hata ulaya timu kucheza .mechi na timu dhaifu ni kawaida kwasababu hawajali matokeo. Mourinho na Roma yake kacheza mechi ya kirafiki na Raja Casablanca.
Hivi Yanga SC kucheza na Friends Rangers FC ya Championship ( Ligi Daraja la Kwanza ) na kucheza na Mtibwa Sugar FC au Prison FC ipi Kiufundi ingekuwa na Faida kubwa Kwao kuelekea Kupambana na Timu ngumu ya Rivers United kutoka nchini Nigeria Siku 10 tu zijazo?

Nikisema Watu wa Yanga SC hamnazo Kichwani msiwe mnanibishia au mnakataa kwani ndiyo Uhalisia wenyewe. Nashukuru baadhi ya wana Yanga SC wenye Akili kubwa hapa JamiiForums ( na katika Uzi huu ) wamenielewa.
 
Mzee baba me sio Yanga labda tu unijui japo me ni Mwanasimba mwenzako lakini ndungu yangu siwezi kuunga mkono kwa kila jambo eti kwa sababu ni mshabiki mwenzangu Sina ushabiki wa namna hiyo I tell you truth umeandika rubbish
Simba SC hatuna Shabiki Nut kama Wewe.
 
Mimi ni shabiki lialia wa lunyasi mkuu umetoa nondo ya uhakika ila mleta uzi Jentamaizi anakimavi matakoni ni mtu wa kupuuzwa na Zesco yake ya nyokoo
 
Una unakumbuka Mashujaa fc na Green warriors fc ziliwafanya nini Makorokoro fc katika FA? unajua zipo daraja la ngapi na ziliwafanya nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…