Yanga SC bhana! Hivi kulikuwa na ulazima wowote ule kwa Hadhi yenu Kucheza Mechi ya Kirafiki na Friends Rangers na Kushinda 3 - 1?

Yanga SC bhana! Hivi kulikuwa na ulazima wowote ule kwa Hadhi yenu Kucheza Mechi ya Kirafiki na Friends Rangers na Kushinda 3 - 1?

MINOCYCLINE

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2015
Posts
8,018
Reaction score
16,802
Yaani Wenzenu Simba SC wanajiandaa Kucheza na Vilabu vya maana Barani Afrika huku ikiwa imetoka Kucheza na vingine viwili huko Morocco ilipokuwa Pre Season nyie mnacheza na Friends Rangers FC ya Magomeni.

Mlivyo Wapuuzi japo wenyewe mnajifanya mna Akili baada ya Majuzi Kunyooshwa na Wazambia Zanaco FC kupitia Kelvin Kapumbu na kutia Aibu mkaona leo mtafute Timu dhaifu ili muifunge Goli nyingi kisha Vyombo vya Habari Kesho viwaandike vizuri ili kurejesha Imani kwa Mashabiki wenu na waujaze Uwanja katika Mechi yenu ya CAF CL na Rivers ya Nigeria.

Kuna Kitu wazungu wanakiita / wanakisema Value Yourself in order for others to Value You more. Sasa Yanga SC kwa Kucheza Kwenu na Wahuni, Vibaka na Wauza Bangi Friends Rangers FC ya Magomeni chini ya Kocha wao Heri Mzozo ( ambaye pia ni mwana Yanga SC lia lia ) ndiyo kujipandisha Thamani huko?

Hivi kweli Kipimo sahihi cha Yanga SC kujipima hasa ikielekea kucheza CAF CL ni Kucheza na Friends Rangers FC ya Magomeni ili uifunge Goli nyingi kisha upambwe ( usifiwe ) na Magazeti ya Kesho kuwa uko ( mko ) imara, mmekamilika na kwamba mnaweza Kucheza na Klabu yoyote ile Kubwa ndani na nje ya Tanzania?

Sishangai ndiyo maana Kocha wa Zanaco FC juzi baada ya Mechi nao alipohojiwa alisema Yanga SC inataka Kukimbia wakati hata Kutembea tu bado kunawashinda huku Beki wao Zanaco FC alisema kama wangecheza na Simba SC ndiyo wana uhakika kuwa wangepata Changamoto na kujua wanacheza na Timu inayojitambua na iliyokamilika kila idara.

Inaingia Akilini kweli kwa mfano Bondia mkubwa kama Antony Joshua ( kutoka Uingereza ) anataka Kucheza Shindano Kubwa au la Olimpiki halafu anakuja Tanzania kuomba Kucheza Mchezo wa Kirafiki na Bondia Dula Mbabe halafu akimchakaza ( akimpiga ) vibaya aanze Kujitapa ( Kujjnasibu ) kuwa Yeye ( Antony Joshua ) yuko imara na ameshaiva Kimashindano?

Sasa baada ya Yanga SC leo Kumfunga / Kuifunga Friends Rangers FC Goli 3 kwa 1 yaliyofungwa na Mayele, Nchimbi na Yusuph subirini muone Vichwa vya Habari vya Magazeti ya Kesho ( hasa hasa ) ya Michezo nchini.

Ambapo yatawapamba utadhani ni Timu Kubwa na Bora Tanzania, Afrika Mashariki, Afrika na Duniani wakati sasa ni mwaka wa Nne huu Ubingwa wa VPL wanausikia tu kwa Waliobarikiwa na wanaoujua Mpira Simna Sports Club Wekundu wa Msimbazi.
 
Man u ana miaka zaidi ya 6 hajagusa ubingwa lakini huwezi kuta shabiki wa Chelsea anaongea upuuzi kama huu kuhusu man u.

Mashabiki wa Mpira bongo ni vichekesho utakuta anaiponda yanga kutochukua ubingwa miaka mi 4 alafu yeye anashabikia Arsenal.

Kinachoangaliwa katika mechi za kirafiki sanasana sio ushindi Bali ni kuangalia kama wachezaji wanaelewa mafunzo ya mwalimu na pia kuwaweka wachezaji katika utimamu hata Chelsea juzi kabla hajacheza super cup alijipima nguvu na katimu cha daraja la 2.

Cha muhimu jitahidi kuwa positive sio kila kitu kuhusu yanga lazima upingane nacho tu.
 
Uzi mrefu umejaa mashudu matupu, umedhihirisha jinsi gani hauufahamu mpira wa miguu zaidi ya ushabiki maandazi tu
 
Mpuuzi ni wewe mwenyewe na timu unayoshabikia ni ya kipuuzi. Eti Yanga na Zesco, hata hujui unachoandika. Jaribu wakati mwingine kuuficha ujinga wako kwa kukaa kimya. Shubaaaaaaaamit
 
Yaan nilivyoona umeandika Zesco badala ya Zanaco nikaamini Aden Rage alikuwa sahihi kabisa kuwa mashabiki wa simba ni mambumbumbu. Pre season Unaweza cheza na timu yoyote ile
...Hamna anachoelewa huyo Makorokoro FC. Akili yake imeshikwa na Tajiri anayeshinda Instagram
 
Nilimsikia bumbuli kabla ile siku ya mwananchi akisema kua wao wamecheza mechi nyingi za preseason na wamekua wakipata matokeo mazuri tu.

Ila hawajitangazi kisha akatolea mfano wa mechi ya mwisho walicheza na kushinda goli tatu ila hakutaja jina la timu pinzani. Mimi nikajiongeza kwa namna ambavyo yanga tunaijua kwa sifa afu icheze na timu nzuri ishinde goli tatu alafu wakaushe tu bila kutangaza, mbona hai make sense

Nikajua tu hapo ilikua ni timu design ya ken gold na ushindi wao kivyovyote vile lazima penalty ilihusika plus hujuma za refa. Na kweli imekua hivyo
 
...Hamna anachoelewa huyo Makorokoro FC. Akili yake imeshikwa na Tajiri anayeshinda Instagram
Huyu hapa ni bilionea wapili duniani na hii ni recent post yake huko instagram

Screenshot_20210903-001232.png

Na hakika bajeti ya msosi wa mbwa wa billgate kwa miezi 6 ni zaidi ya thamani ya pesa aliyowekeza GSM hapo dimbwini
 
Man u ana miaka zaidi ya 6 hajagusa ubingwa lakini huwezi kuta shabiki wa Chelsea anaongea upuuzi kama huu kuhusu man u.

Mashabiki wa Mpira bongo ni vichekesho utakuta anaiponda yanga kutochukua ubingwa miaka mi 4 alafu yeye anashabikia Arsenal...
Me japo ni Simba nakupa kongole mzee umeongea kimpira Hili jukwaa limejawa na mashabiki waliovamia soka hawatoi hoja za maana kazi yao kubwa kutoleana vijembe, kejeli na kupondana ilimradi tu umeponda.
 
Yaan nilivyoona umeandika Zesco badala ya Zanaco nikaamini Aden Rage alikuwa sahihi kabisa kuwa mashabiki wa simba ni mambumbumbu. Pre season Unaweza cheza na timu yoyote ile
Kukosea kwa Mwanadamu ni Jambo la Kawaida ila kwa Mpumbavu kama Wewe na hao waliokupa Likes ndiyo mnaweza Kushangaa.

Unaacha kujadili Content unakimbilia katika Kasoro na hii ndiyo Hulka ya Watu wa Yanga SC na ndiyo maana mpaka hii leo Mafanikio mnayatafuta kwa Tochi huku Simba SC ikiendelea tu Kutamba Kimpira nchini.

Ni kweli Ismail Aden Rage alituita Simba SC kuwa ni Mbumbumbu ila hata nyie Yanga SC aliyekuwa Kocha wenu Mkuu Luc Eymael Raia wa Ubelgiji tena Mubashara kabisa aliwaiteni kuwa ni Nyani, Mbwa na Sokwe.

Sasa naomba kujua kati ya Simba kuitwa Mbumbumbu na Yanga kuitwa Nyani, Mbwa na Sokwe ipi ni mbaya na imekaa Kiudhalilishaji zaidi? Nasubiri jibu lako ukisaidiwa na hao Fools Wenzako waliokupa Likes sawa?

Cc: Ndondocha mkuu, joseph1989, Cytotoxic
 
Uzi mrefu umejaa mashudu matupu, umedhihirisha jinsi gani hauufahamu mpira wa miguu zaidi ya ushabiki maandazi tu
Kwa hizi Hasira zenu wana Yanga SC kwa huu Uzi wangu ni Ushahidi tosha kuwa Sindano yangu yenye Dawa imeenda mahala pake na nina Furaha kubwa mno kuona mmekasirika na mtakasirika zaidi Simba Day tarehe 19 Septemba, 2021 na ile Siku ya Mechi ya Ngao ya Hisani / Jamii ambapo tunaenda kutoa Kipigo kitakachowafanya Mvurugane, Mfarakane, Mpigane wenyewe kwa wenyewe na mumfukuze Msukule Wenu.

Nitawakereni sana hapa JamiiForums!!!!
 
...Hamna anachoelewa huyo Makorokoro FC. Akili yake imeshikwa na Tajiri anayeshinda Instagram
Kwa hizi Hasira zenu wana Yanga SC kwa huu Uzi wangu ni Ushahidi tosha kuwa Sindano yangu yenye Dawa imeenda mahala pake na nina Furaha kubwa mno kuona mmekasirika na mtakasirika zaidi Simba Day tarehe 19 Septemba, 2021 na ile Siku ya Mechi ya Ngao ya Hisani / Jamii ambapo tunaenda kutoa Kipigo kitakachowafanya Mvurugane, Mfarakane, Mpigane wenyewe kwa wenyewe na mumfukuze Msukule Wenu.

Nitawakereni sana hapa JamiiForums!!!!
 
Pilipili usoila yakuwashia nini?

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
Kwa hizi Hasira zenu wana Yanga SC kwa huu Uzi wangu ni Ushahidi tosha kuwa Sindano yangu yenye Dawa imeenda mahala pake na nina Furaha kubwa mno kuona mmekasirika na mtakasirika zaidi Simba Day tarehe 19 Septemba, 2021 na ile Siku ya Mechi ya Ngao ya Hisani / Jamii ambapo tunaenda kutoa Kipigo kitakachowafanya Mvurugane, Mfarakane, Mpigane wenyewe kwa wenyewe na mumfukuze Msukule Wenu.

Nitawakereni sana hapa JamiiForums!!!!
 
Me japo ni Simba nakupa kongole mzee umeongea kimpira Hili jukwaa limejawa na mashabiki waliovamia soka hawatoi hoja za maana kazi yao kubwa kutoleana vijembe, kejeli na kupondana ilimradi tu umeponda.
Kwa hizi Hasira zenu wana Yanga SC kwa huu Uzi wangu ni Ushahidi tosha kuwa Sindano yangu yenye Dawa imeenda mahala pake na nina Furaha kubwa mno kuona mmekasirika na mtakasirika zaidi Simba Day tarehe 19 Septemba, 2021 na ile Siku ya Mechi ya Ngao ya Hisani / Jamii ambapo tunaenda kutoa Kipigo kitakachowafanya Mvurugane, Mfarakane, Mpigane wenyewe kwa wenyewe na mumfukuze Msukule Wenu.

Nitawakereni sana hapa JamiiForums!!!!
 
Kafatilie mechi za pre season za hata ulaya timu kucheza .mechi na timu dhaifu ni kawaida kwasababu hawajali matokeo. Mourinho na Roma yake kacheza mechi ya kirafiki na Raja Casablanca.
 
Back
Top Bottom