Yanga SC hawaitaki TFF na wapo tayari hata kushushwa ligi daraja la 3

Smart codetz

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2023
Posts
228
Reaction score
933
Kwingineko Yanga wameziandikia mamlaka za serikalini barua yenye kurasa 167 ambayo inapinga uonevu na dhiluma zinazofanywa na bodi ya ligi chini ya TFF.

Yanga wamesema hawaitaki na hawana Tena imani na hii
TFF.

Wako tayari kucheza hata ligi daraja la tatu.

IMG_3134.jpeg
 
Wanayanga spelling error zimekua nyingi

Soma kichwa cha habari tena
 
Bongo unafiki hauwezi kuisha,juzi tu Hersi aliungana na Mangungu kumpigia chapuo Karia pale TFF,Leo hawana imani na uongozi wake!

Rais wa Yanga SC, Mhandisi Hersi Said amesema wanajivunia uwepo wa Wallace Karia katika kiti cha uongozi wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF).Hersi ametoa pongezi hizo kwa Rais Karia katika Mkutano wa Kawaida wa TFF uliofanyika Moshi, Kilimanjaro.“ Nikuhakikishie sisi viongozi tutaendelea kukuunga mkono” alisema Hersi
 
Newton first law of motion

Everybody will continue to be in its state of rest unless no external force acts on it or otherwise

Mambo yatabaki kuwa vile vile kama hakuna nguvu ya nje itakayoleta vugu vugu la mabadiriko

Hiyo nguvu wanaitaka yanga itoke kwa wadau na mashabiki

Maana TFF ni ile ile sasa inaachwa ijikaange yenyewe kwa mafuta yake

Watoe ubingwa wa mezani kwa Simba kisha vuguvugu lianze
 
Bongo unafiki hauwezi kuisha,juzi tu Hersi aliungana na Mangungu kumpigia chapuo Karia pale TFF,Leo hawana imani na uongozi wake!

Rais wa Yanga SC, Mhandisi Hersi Said amesema wanajivunia uwepo wa Wallace Karia katika kiti cha uongozi wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF).Hersi ametoa pongezi hizo kwa Rais Karia katika Mkutano wa Kawaida wa TFF uliofanyika Moshi, Kilimanjaro.“ Nikuhakikishie sisi viongozi tutaendelea kukuunga mkono” alisema Hersi
[emoji1787][emoji1787] jamaa mjanja mbinu za kutafuta kura na nafasi uchaguzi mwingine pia kutafuta kukubalika na kuendelea kula kuku kwa mrija ,,wakubwa wanajuana hio derby itachezwa ..
 
Kwingineko Yanga wameziandikia mamlaka za serikalini barua yenye kurasa 167 ambayo inapinga uonevu na dhiluma zinazofanywa na bodi ya ligi chini ya TFF.

Yanga wamesema hawaitaki na hawana Tena imani na hii
TFF.

Wako tayari kucheza hata ligi daraja la tatu.

View attachment 3325194
Nilisema mimi uongozi wa tff ni wa hovyo uvunjwe kwa faida ya mpira wetu
 
Kwingineko Yanga wameziandikia mamlaka za serikalini barua yenye kurasa 167 ambayo inapinga uonevu na dhiluma zinazofanywa na bodi ya ligi chini ya TFF.

Yanga wamesema hawaitaki na hawana Tena imani na hii
TFF.

Wako tayari kucheza hata ligi daraja la tatu.

View attachment 3325194
TFF inanuka rushwa na unazi🦾🦾
 
Kwingineko Yanga wameziandikia mamlaka za serikalini barua yenye kurasa 167 ambayo inapinga uonevu na dhiluma zinazofanywa na bodi ya ligi chini ya TFF.

Yanga wamesema hawaitaki na hawana Tena imani na hii
TFF.

Wako tayari kucheza hata ligi daraja la tatu.

View attachment 3325194
TFF hawahusiki na ligi daraja la tatu? Au ndo yake ya manara kwamba wenye akili utopoloni Ni wawili tuu?
 
Back
Top Bottom