Dabil
JF-Expert Member
- Sep 30, 2021
- 7,376
- 16,539
We uliongea naye kwa simu?Mama kashawa kataa mapema hataki kutakatisha dhulma za bodi ya Ligi kwa mgongo wake.
We uliongea naye kwa simu?Mama kashawa kataa mapema hataki kutakatisha dhulma za bodi ya Ligi kwa mgongo wake.
Yanga si hawaamini bodi ya ligi na TFF,ili kupata haki zaidi walienda cas sasa shida iko wapi kila siku kulia mnaonewaBodi iliharibu sana kuahirisha mchezo ule kwa sababu ya Simba. Kama kweli wangekuwa na busara, wangeita uongozi wa timu zote mbili kujadili sintofahamu ile kabla ya kutoa uamuzi uliolalia upande mmoja na eti kutengua msimamo wao wa awali ambao walikuwa wameutoa kulingana na kanuni. Karia na TFF watakuwa wanaisimamia bodi, lakini bodi iliisimamia Simba, kwa hiyo proof by Induction ni kwamba Karia na TFF wameisimamia Simba! N ahilo ndilo tatizo ambayo Yanga hawalitaki
Na hiki kipindi cha kampeni, italazimishwa na mta fold. Hakuna taasis ya kuigomea serikaliMama kashawa kataa mapema hataki kutakatisha dhulma za bodi ya Ligi kwa mgongo wake.
Shida nikiburi cha hela kupitia namba moja wao,kingine waliroga sana ile game simba asingetoka na angefungwa magoli mengi sana,ndio maana wanadai gharama zilikua kubwa kwakua mechi ilikwisha chezwa muda mrefu sana yangetokea maafa ya magoli zaidi ya yale 5-1Kwingineko Yanga wameziandikia mamlaka za serikalini barua yenye kurasa 167 ambayo inapinga uonevu na dhiluma zinazofanywa na bodi ya ligi chini ya TFF.
Yanga wamesema hawaitaki na hawana Tena imani na hii
TFF.
Wako tayari kucheza hata ligi daraja la tatu.
View attachment 3325194
wanataka kurudi CAS kwa maamuzi yyt yatakayotoka tff,pia walitumia hela nyingi kuroga game iliopita ndio maana wanahaha kwani mabosi hawawezi toa hela tena kwakua wao ndio wenyeweji wamchezoNewton first law of motion
Everybody will continue to be in its state of rest unless no external force acts on it or otherwise
Mambo yatabaki kuwa vile vile kama hakuna nguvu ya nje itakayoleta vugu vugu la mabadiriko
Hiyo nguvu wanaitaka yanga itoke kwa wadau na mashabiki
Maana TFF ni ile ile sasa inaachwa ijikaange yenyewe kwa mafuta yake
Watoe ubingwa wa mezani kwa Simba kisha vuguvugu lianze
Lidude likubwa linalobebwa na marefa na Bodi ya ligi kwa maelekezo ya KARAI kutokea kwa KATELEFONI.Fifa ilishakataza serikali kuingilia mamlaka za soka waende wanakoenda Ila Simba ni lidude likubwa.
Kakojoe ukalaleLidude likubwa linalobebwa na marefa na Bodi ya ligi kwa maelekezo ya KARAI kutokea kwa KATELEFONI.
Hisia zako hizo unataka kuzifanya ziwe fact. Mna tabu sana nyie watuShida nikiburi cha hela kupitia namba moja wao,kingine waliroga sana ile game simba asingetoka na angefungwa magoli mengi sana,ndio maana wanadai gharama zilikua kubwa kwakua mechi ilikwisha chezwa muda mrefu sana yangetokea maafa ya magoli zaidi ya yale 5-1
wanataka kurudi CAS kwa maamuzi yyt yatakayotoka tff,pia walitumia hela nyingi kuroga game iliopita ndio maana wanahaha kwani mabosi hawawezi toa hela tena kwakua wao ndio wenyeweji wamchezo
Asante mjumbe wa bodi ya exco wa yangaHisia zako hizo unataka kuzifanya ziwe fact. Mna tabu sana nyie watu
Mchawi na wachawi wenzakeShida nikiburi cha hela kupitia namba moja wao,kingine waliroga sana ile game simba asingetoka na angefungwa magoli mengi sana,ndio maana wanadai gharama zilikua kubwa kwakua mechi ilikwisha chezwa muda mrefu sana yangetokea maafa ya magoli zaidi ya yale 5-1
wanataka kurudi CAS kwa maamuzi yyt yatakayotoka tff,pia walitumia hela nyingi kuroga game iliopita ndio maana wanahaha kwani mabosi hawawezi toa hela tena kwakua wao ndio wenyeweji wamchezo