Smart codetz
JF-Expert Member
- Jan 25, 2023
- 228
- 933
Mama kashawa kataa mapema hataki kutakatisha dhulma za bodi ya Ligi kwa mgongo wake.Simba na yanga ni mitaji ya serikali iwe isiwe mbungi itapigwa na mgeni rasmi ni number 1 ajaye
waasisi wa rushwa na upangaji wa matokeo na kiburi na dharau kwa mamlakaHii ndio Yanga Sasa, Hii ndio Yanga iliyo asisi mpira wa Tanzania.
[emoji1787][emoji1787] jamaa mjanja mbinu za kutafuta kura na nafasi uchaguzi mwingine pia kutafuta kukubalika na kuendelea kula kuku kwa mrija ,,wakubwa wanajuana hio derby itachezwa ..Bongo unafiki hauwezi kuisha,juzi tu Hersi aliungana na Mangungu kumpigia chapuo Karia pale TFF,Leo hawana imani na uongozi wake!
Rais wa Yanga SC, Mhandisi Hersi Said amesema wanajivunia uwepo wa Wallace Karia katika kiti cha uongozi wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF).Hersi ametoa pongezi hizo kwa Rais Karia katika Mkutano wa Kawaida wa TFF uliofanyika Moshi, Kilimanjaro.“ Nikuhakikishie sisi viongozi tutaendelea kukuunga mkono” alisema Hersi
Nilisema mimi uongozi wa tff ni wa hovyo uvunjwe kwa faida ya mpira wetuKwingineko Yanga wameziandikia mamlaka za serikalini barua yenye kurasa 167 ambayo inapinga uonevu na dhiluma zinazofanywa na bodi ya ligi chini ya TFF.
Yanga wamesema hawaitaki na hawana Tena imani na hii
TFF.
Wako tayari kucheza hata ligi daraja la tatu.
View attachment 3325194
Yanga haja asisi mpira wa Tanzania kuwa mjanja weweHii ndio Yanga Sasa, Hii ndio Yanga iliyo asisi mpira wa Tanzania.
TFF inanuka rushwa na unazi🦾🦾Kwingineko Yanga wameziandikia mamlaka za serikalini barua yenye kurasa 167 ambayo inapinga uonevu na dhiluma zinazofanywa na bodi ya ligi chini ya TFF.
Yanga wamesema hawaitaki na hawana Tena imani na hii
TFF.
Wako tayari kucheza hata ligi daraja la tatu.
View attachment 3325194
TFF hawahusiki na ligi daraja la tatu? Au ndo yake ya manara kwamba wenye akili utopoloni Ni wawili tuu?Kwingineko Yanga wameziandikia mamlaka za serikalini barua yenye kurasa 167 ambayo inapinga uonevu na dhiluma zinazofanywa na bodi ya ligi chini ya TFF.
Yanga wamesema hawaitaki na hawana Tena imani na hii
TFF.
Wako tayari kucheza hata ligi daraja la tatu.
View attachment 3325194
Role model wako ni Manara mpaka unacopy maneno yake basi kazi ipo..TFF hawahusiki na ligi daraja la tatu? Au ndo yake ya manara kwamba wenye akili utopoloni Ni wawili tuu?