Yanga SC hawaitaki TFF na wapo tayari hata kushushwa ligi daraja la 3

Hawana imani na TFF wakati wanaendelea kushiriki ligi ya TFF! Wajitoe kwenye ligi tuone itakuwaje maana kushiriki ligi inayoendeshwa na usiyemuamini ni kujilisha upepo. Wafanye kama CHADEMA ili tuone how serious they are.
Huwataki TFF lakini bado unang'ang'ania kushiriki ligi yao inakuwa kutuyumbisha.

Vv
 
Vurugu gani zitokee wakati sheria na kanuni za Soka zimeamua?

Utopolo Akili hamna
 
Wasicheze na mechi zilizobakia...maana wanajifanya hawaitaka TFF na Derby hizo mechi zingine zipo chini ya nani?
wasuse na hizi tatu..
Mkitaka mechi iwepo, mtoe kwanza sababu ya ukweli iliyo sababisha mkakimbia mechi ile tarehe 8.
 
Mabingwa wa Kombe la Supu la Muungano.

Kwahiyo Serikali ifanyeje, iwape pointi 3?😂😂😂😂😂😂
 
Waambieni Bodi ya Ligi watangaze tarehe mpya ya hiyo match hapo ndio itajulikana mbivu na mbichi.
Tuwaambie? Umeona simba anahangaika na hivyo vitu wao wanasubiri tamko au ratiba na sio kuwaambia....
 
Mkitaka mechi iwepo, mtoe kwanza sababu ya ukweli iliyo sababisha mkakimbia mechi ile tarehe 8.
Kawaulizeni TFf sababu na kila sehemu imeshasemwa..mbona kam mnakaza mafuvu kulazimisha kanuni zisifuatwe? Simba ile sio ya leo...kama ilikua haiji kufanya mazoezi ni zamani ila kwa sasa kila kitu kinaenda kama inavyotakiwa...so kama zamani hawakua wanafanya hilo halina mjadala kwa sbb haipingwi ilikua ni maamuzi yao ila kama walitaka sasa kufanya na mabaunsa wenu wakawazuia basi ndo mjibu kwanini? Na kuleta fujo juu na video za ushahidi zipo..
 
Mechi ilipangwa kucheza tarehe 8 mwezi wa tatu! Maandalizi yote yalikamilika! Siku moja kabla ya mechi mkatafuta kisingizio cha kipuuzi, mkaingia mitini!
 
Unataka point 3 bila kumkaba mpanzu.
KAZI ni kipimo cha utu
 
Mechi ilipangwa kucheza tarehe 8 mwezi wa tatu! Maandalizi yote yalikamilika! Siku moja kabla ya mechi mkatafuta kisingizio cha kipuuzi, mkaingia mitini!
Hee hivi unajua kubishana na nyie ni kupoteza muda...
Simba ilienda hapo kwa ajli ya maamdalizi ya mechi ya kesho yake...kilichotokea ni huzuni...
Nadhani nyie ndo mlitafuta sbb msicheze...
 
Hee hivi unajua kubishana na nyie ni kupoteza muda...
Simba ilienda hapo kwa ajli ya maamdalizi ya mechi ya kesho yake...kilichotokea ni huzuni...
Nadhani nyie ndo mlitafuta sbb msicheze...
Kwa hiyo Yanga kwa kushirikiana na bodi ya ligi, ndiyo walisusia mechi!
 
Waambie waache ujinga. Kwani huko daraja la tatu TFF hawapo?
 
Bodi iliharibu sana kuahirisha mchezo ule kwa sababu ya Simba. Kama kweli wangekuwa na busara, wangeita uongozi wa timu zote mbili kujadili sintofahamu ile kabla ya kutoa uamuzi uliolalia upande mmoja na eti kutengua msimamo wao wa awali ambao walikuwa wameutoa kulingana na kanuni. Karia na TFF watakuwa wanaisimamia bodi, lakini bodi iliisimamia Simba, kwa hiyo proof by Induction ni kwamba Karia na TFF wameisimamia Simba! N ahilo ndilo tatizo ambayo Yanga hawalitaki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…