Yanga SC hawaitaki TFF na wapo tayari hata kushushwa ligi daraja la 3

Yanga si hawaamini bodi ya ligi na TFF,ili kupata haki zaidi walienda cas sasa shida iko wapi kila siku kulia mnaonewa
 
Mama kashawa kataa mapema hataki kutakatisha dhulma za bodi ya Ligi kwa mgongo wake.
Na hiki kipindi cha kampeni, italazimishwa na mta fold. Hakuna taasis ya kuigomea serikali
 
Shida nikiburi cha hela kupitia namba moja wao,kingine waliroga sana ile game simba asingetoka na angefungwa magoli mengi sana,ndio maana wanadai gharama zilikua kubwa kwakua mechi ilikwisha chezwa muda mrefu sana yangetokea maafa ya magoli zaidi ya yale 5-1
wanataka kurudi CAS kwa maamuzi yyt yatakayotoka tff,pia walitumia hela nyingi kuroga game iliopita ndio maana wanahaha kwani mabosi hawawezi toa hela tena kwakua wao ndio wenyeweji wamchezo
 
Fifa ilishakataza serikali kuingilia mamlaka za soka waende wanakoenda Ila Simba ni lidude likubwa.
 
Hisia zako hizo unataka kuzifanya ziwe fact. Mna tabu sana nyie watu
 
Mchawi na wachawi wenzake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…