GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Kama Simba ilifungwa na timu kutoka ligi dhaifu kabisa barani Afrika As Atra kwanini Yanga waizalau Zarani!!!Zalan ni moja ya timu dhaifu kuwahi kutokea katika uso wa dunia hii...bora ucheze na ihefu utapata ushindani.
Yanga wanahamasisha mapato, mechi ya awali Yanga alikuwa ni mgeni na hii mechi ya marudiano Yanga ndiye mwenyeji. Hivyo wanafanya kuwahamasisha mashabiki waingie uwanjani kwa wingi ili mapato yawe mengi. Ifikie wakati akili zako ziwe zinafanya kazi vizuri maana unaongoza kwa kuwa mjinga na mpumbavu humu ndani mpaka kutunukiwa ubingwa wa kupigwa BanHivi Bondia Anthony Joshua ( Uingereza ) akijua kabisa anaenda Kupigana na Bondia Mchovu na asiye na Uwezo wowote ule Kwake Twaha Kiduku ( Tanzania ) anaweza kweli akajitangaza na akaitangaza ( akaipigia sana Promo ) Redioni?
Acheni Ushamba ( Umbwiga ) Mechi pekee ya Kupigwa Promo na ya maana ni ile ya Jumapili tarehe 18 Septemba, 2022 Saa 10 Kamili Jioni baina ya Simba SC dhidi ya Wagumu wa Malawi Nyasa Big Bullets FC katika Uwanja wa Benjamin Mkapa.
Kupigwa Kwangu BAN mara kwa mara hapa JamiiForums kunakuzuia Wewe Kubebeshwa hizo Mimba zako za Mfululizo?Yanga wanahamasisha mapato, mechi ya awali Yanga alikuwa ni mgeni na hii mechi ya marudiano Yanga ndiye mwenyeji. Hivyo wanafanya kuwasisha mashabiki waingie uwanjani kwa wingi ili mapato yawe mengi. Ifikie wakati akili zako ziwe zinafanya kazi vizuri maana unaongoza kwa kuwa mjinga na moumbavu humu ndani mpaka kutunukiwa bingwa wa kupigwa Ban
Unachojuaga ni kutukana tu hujuagi kujibu hoja. Pole sanaKupigwa Kwangu BAN mara kwa mara hapa JamiiForums kunakuzuia Wewe Kubebeshwa hizo Mimba zako za Mfululizo?
Pumbavu.
Hebu nitokee hapa Moron mkubwa Wewe.Unachojuaga ni kutukana tu hujuagi kujibu hoja. Pole sana
Ufikie hatua ukue kiakili. Tumia akili yako katika kujenga hoja na kujibu hoja sio matusi. Matusi anatukana mtu asiyekuwa na hoja pekee, pia uwe unafikiria kwa mapana jambo husika kabla ya kuja kuleta uzi humu ili kuepusha kuonekana mpumbavu kila siku. Au unaona unavyoitwa popoma unaona ni sifa?Hebu nitokee hapa Moron mkubwa Wewe.
Unavyonitaka nitumie Akili ni lini Wewe umewahi Kuzimiliki hizo Akili Ubongoni mwako? Authentic Imbecile kama Wewe anaweza kuwa na Akili?Ufikie hatua ukue kiakili. Tumia akili yako katika kujenga hoja na kujibu hoja sio matusi. Matusi anatukana mtu asiyekuwa na hoja pekee, pia uwe unafikiria kwa mapana jambo husika kabla ya kuja kuleta uzi humu ili kuepusha kuonekana mpumbavu kila siku. Au unaona unavyoitwa popoma unaona ni sifa?
Unavyonitaka nitumie Akili ni lini Wewe umewahi Kuzimiliki hizo Akili Ubongoni mwako? Authentic Imbecile kama Wewe anaweza kuwa na Akili?
Utahangaika mno kutumia Multiple ID's zako Kupambana nami GENTAMYCINE 'Purely Talented, Charismatic Fella, Game Changer and Entertainer' ila hutoniweza kwani tayari nina Tunu ( Shani ) nyingi za Ubarikio kutoka Kwake Baba Muumba Mwenyezi Mungu.
Ningekuwa Popoma ( Mpumbavu ) kama usemavyo ningekuwa na Great Thinkers Followers wangu 117+ nilionao mpaka sasa? Wewe usiye Popoma una hata Follower Mmoja tu? Na usichokijua hilo Neno Pendwa hapa JamiiForums la Popoma Mimi GENTAMYCINE ndiyo nililianzisha mwaka 2014 baada ya Kutohoa maneno ya Kizaramo na Kindengereko ndipo nikalitengeneza na leo limepata Mashiko hapa Jamvini na Kwingineko.
Nimemaliza.
Kwasababu nimebarikiwa Tunu ( Shani ) nyingi zilizotukuka na Mwenyezi Mungu halafu 'Natural Charm' yangu inawatesa na itaendelea Kuwatesa sana tu.Sasa great thinker ni kwanini unapigwa sana ban?
Nimefurahi mno leo Kunianika hivi Kalemera Rwigyema Mazimpaka Kadogoo Kisungura ( GENTAMYCINE ) Mimi hapa JamiiForums kwani Watu wengi walikuwa Wanatamani mno kunijua kwa Nyago langu ( Sura yangu )Genta banaView attachment 2358548
msamehe bure huyo pompomaYanga wanahamasisha mapato, mechi ya awali Yanga alikuwa ni mgeni na hii mechi ya marudiano Yanga ndiye mwenyeji. Hivyo wanafanya kuwasisha mashabiki waingie uwanjani kwa wingi ili mapato yawe mengi. Ifikie wakati akili zako ziwe zinafanya kazi vizuri maana unaongoza kwa kuwa mjinga na mpumbavu humu ndani mpaka kutunukiwa ubingwa wa kupigwa Ban