GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Hivi Bondia Anthony Joshua ( Uingereza ) akijua kabisa anaenda Kupigana na Bondia Mchovu na asiye na Uwezo wowote ule Kwake Twaha Kiduku ( Tanzania ) anaweza kweli akajitangaza na akaitangaza ( akaipigia sana Promo ) Redioni?
Acheni Ushamba ( Umbwiga ) Mechi pekee ya Kupigwa Promo na ya maana ni ile ya Jumapili tarehe 18 Septemba, 2022 Saa 10 Kamili Jioni baina ya Simba SC dhidi ya Wagumu wa Malawi Nyasa Big Bullets FC katika Uwanja wa Benjamin Mkapa.