Yanga SC hivi Mechi yenu 'Nyepesi' ya Marudiano na 'Zalan Ndembendembe FC' ni ya kuifanyia 'Promo' Redioni?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Hivi Bondia Anthony Joshua ( Uingereza ) akijua kabisa anaenda Kupigana na Bondia Mchovu na asiye na Uwezo wowote ule Kwake Twaha Kiduku ( Tanzania ) anaweza kweli akajitangaza na akaitangaza ( akaipigia sana Promo ) Redioni?

Acheni Ushamba ( Umbwiga ) Mechi pekee ya Kupigwa Promo na ya maana ni ile ya Jumapili tarehe 18 Septemba, 2022 Saa 10 Kamili Jioni baina ya Simba SC dhidi ya Wagumu wa Malawi Nyasa Big Bullets FC katika Uwanja wa Benjamin Mkapa.
 
Unaumia ukiwa wapi??Yanga wanafanya mambo yao wao kama wao sasa Wewe mwenye jinsia ya Kiume unaumia kwa mambo ya YANGA 😂😂😂Maake kwanza ncheke
 
Hivi Bondia Anthony Joshua ( Uingereza ) akijua kabisa anaenda Kupigana na Bondia Mchovu na asiye na Uwezo wowote ule Kwake Twaha Kiduku ( Tanzania ) anaweza kweli akajitangaza na akaitangaza ( akaipigia sana Promo ) Redioni?

Acheni Ushamba ( Umbwiga ) Mechi pekee ya Kupigwa Promo na ya maana ni ile ya Jumapili tarehe 18 Septemba, 2022 Saa 10 Kamili Jioni baina ya Simba SC dhidi ya Wagumu wa Malawi Nyasa Big Bullets FC katika Uwanja wa Benjamin Mkapa.
Yanga wanahamasisha mapato, mechi ya awali Yanga alikuwa ni mgeni na hii mechi ya marudiano Yanga ndiye mwenyeji. Hivyo wanafanya kuwahamasisha mashabiki waingie uwanjani kwa wingi ili mapato yawe mengi. Ifikie wakati akili zako ziwe zinafanya kazi vizuri maana unaongoza kwa kuwa mjinga na mpumbavu humu ndani mpaka kutunukiwa ubingwa wa kupigwa Ban
 
Yanga wanahamasisha mapato, mechi ya awali Yanga alikuwa ni mgeni na hii mechi ya marudiano Yanga ndiye mwenyeji. Hivyo wanafanya kuwasisha mashabiki waingie uwanjani kwa wingi ili mapato yawe mengi. Ifikie wakati akili zako ziwe zinafanya kazi vizuri maana unaongoza kwa kuwa mjinga na moumbavu humu ndani mpaka kutunukiwa bingwa wa kupigwa Ban
Kupigwa Kwangu BAN mara kwa mara hapa JamiiForums kunakuzuia Wewe Kubebeshwa hizo Mimba zako za Mfululizo?

Pumbavu.
 
Hebu nitokee hapa Moron mkubwa Wewe.
Ufikie hatua ukue kiakili. Tumia akili yako katika kujenga hoja na kujibu hoja sio matusi. Matusi anatukana mtu asiyekuwa na hoja pekee, pia uwe unafikiria kwa mapana jambo husika kabla ya kuja kuleta uzi humu ili kuepusha kuonekana mpumbavu kila siku. Au unaona unavyoitwa popoma unaona ni sifa?
 
Wanataka waongelewe na CAF kama ilivyo kwa SIMBA SC linapokuja suala la mashindano ya kimataifa.
 
Ufikie hatua ukue kiakili. Tumia akili yako katika kujenga hoja na kujibu hoja sio matusi. Matusi anatukana mtu asiyekuwa na hoja pekee, pia uwe unafikiria kwa mapana jambo husika kabla ya kuja kuleta uzi humu ili kuepusha kuonekana mpumbavu kila siku. Au unaona unavyoitwa popoma unaona ni sifa?
Unavyonitaka nitumie Akili ni lini Wewe umewahi Kuzimiliki hizo Akili Ubongoni mwako? Authentic Imbecile kama Wewe anaweza kuwa na Akili?

Utahangaika mno kutumia Multiple ID's zako Kupambana nami GENTAMYCINE 'Purely Talented, Charismatic Fella, Game Changer and Entertainer' ila hutoniweza kwani tayari nina Tunu ( Shani ) nyingi za Ubarikio kutoka Kwake Baba Muumba Mwenyezi Mungu.

Ningekuwa Popoma ( Mpumbavu ) kama usemavyo ningekuwa na Great Thinkers Followers wangu 117+ nilionao mpaka sasa? Wewe usiye Popoma una hata Follower Mmoja tu? Na usichokijua hilo Neno Pendwa hapa JamiiForums la Popoma Mimi GENTAMYCINE ndiyo nililianzisha mwaka 2014 baada ya Kutohoa maneno ya Kizaramo na Kindengereko ndipo nikalitengeneza na leo limepata Mashiko hapa Jamvini na Kwingineko.

Nimemaliza.
 
Sasa great thinker ni kwanini unapigwa sana ban?
 
Genta bana
IMG-20220916-WA0000.jpg
 
Yaani hata hili la Yanga kufanya promo mechi yao lina kukera. Wakati hii ni biashara kuwa mvumilivu.

Okaya nasikia huyu striker wake umpendaye bado yupo yupo sana.
 
Attachments

  • Screenshot_20220916-120105_Instagram.jpg
    Screenshot_20220916-120105_Instagram.jpg
    91.2 KB · Views: 4
Sasa great thinker ni kwanini unapigwa sana ban?
Kwasababu nimebarikiwa Tunu ( Shani ) nyingi zilizotukuka na Mwenyezi Mungu halafu 'Natural Charm' yangu inawatesa na itaendelea Kuwatesa sana tu.

Wafikishie huu Ujumbe waliokutuma.
 
Yanga wanahamasisha mapato, mechi ya awali Yanga alikuwa ni mgeni na hii mechi ya marudiano Yanga ndiye mwenyeji. Hivyo wanafanya kuwasisha mashabiki waingie uwanjani kwa wingi ili mapato yawe mengi. Ifikie wakati akili zako ziwe zinafanya kazi vizuri maana unaongoza kwa kuwa mjinga na mpumbavu humu ndani mpaka kutunukiwa ubingwa wa kupigwa Ban
msamehe bure huyo pompoma
 
Back
Top Bottom