Yanga SC hivi Mechi yenu 'Nyepesi' ya Marudiano na 'Zalan Ndembendembe FC' ni ya kuifanyia 'Promo' Redioni?

Maajabu shabiki la utopolo linainanga timu yake
 
Hivi huoni hawa jamaa watauroga uwanja ili simba apate wakati mgumu. Mimi nina wasiwasi sana ya yanga kufukia vitu uwanjani ili simba asishinde. Unakumbuka shaban djuma alikifukia vitu msimu uliopita camera ikamnasa
 
Tukio hilo uliona mwisho mwa Clip. Clip ilikuwa imekatwa kwa makusudi tu. Jaribu kutafta Clip nzima. Ila D. Shaban alienda pale kufukua baada ya timu pinzani kuchuchumaa kwa kuzunguka pale na kufukia kitu pale.
 
Hivi huoni hawa jamaa watauroga uwanja ili simba apate wakati mgumu. Mimi nina wasiwasi sana ya yanga kufukia vitu uwanjani ili simba asishinde. Unakumbuka shaban djuma alikifukia vitu msimu uliopita camera ikamnasa
Bila shaka unaongelea hili tukio. Ukiangalia tokea mwanzo utaona Djuma Shabani kaenda kukitoa kilichowekwa na mchezaji wa timu pinzani
Your browser is not able to display this video.
 
Kumbe neno Popoma humu tokea 2014 !mimi nilijua limekuja juzijuzi tu maana nimejiunga Jf 2017 nimekuta neno hilo likitrend sana humu mpaka leo umaarufu wake hujachuja sababu mwanzilishi unalitendea haki jina lako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…