Yanga SC hivi Mechi yenu 'Nyepesi' ya Marudiano na 'Zalan Ndembendembe FC' ni ya kuifanyia 'Promo' Redioni?

Yanga SC hivi Mechi yenu 'Nyepesi' ya Marudiano na 'Zalan Ndembendembe FC' ni ya kuifanyia 'Promo' Redioni?

Hivi Bondia Anthony Joshua ( Uingereza ) akijua kabisa anaenda Kupigana na Bondia Mchovu na asiye na Uwezo wowote ule Kwake Twaha Kiduku ( Tanzania ) anaweza kweli akajitangaza na akaitangaza ( akaipigia sana Promo ) Redioni?

Acheni Ushamba ( Umbwiga ) Mechi pekee ya Kupigwa Promo na ya maana ni ile ya Jumapili tarehe 18 Septemba, 2022 Saa 10 Kamili Jioni baina ya Simba SC dhidi ya Wagumu wa Malawi Nyasa Big Bullets FC katika Uwanja wa Benjamin Mkapa.
Maajabu shabiki la utopolo linainanga timu yake
 
Hivi huoni hawa jamaa watauroga uwanja ili simba apate wakati mgumu. Mimi nina wasiwasi sana ya yanga kufukia vitu uwanjani ili simba asishinde. Unakumbuka shaban djuma alikifukia vitu msimu uliopita camera ikamnasa
 
Tukio hilo uliona mwisho mwa Clip. Clip ilikuwa imekatwa kwa makusudi tu. Jaribu kutafta Clip nzima. Ila D. Shaban alienda pale kufukua baada ya timu pinzani kuchuchumaa kwa kuzunguka pale na kufukia kitu pale.
 
Hivi huoni hawa jamaa watauroga uwanja ili simba apate wakati mgumu. Mimi nina wasiwasi sana ya yanga kufukia vitu uwanjani ili simba asishinde. Unakumbuka shaban djuma alikifukia vitu msimu uliopita camera ikamnasa
Bila shaka unaongelea hili tukio. Ukiangalia tokea mwanzo utaona Djuma Shabani kaenda kukitoa kilichowekwa na mchezaji wa timu pinzani
 
Unavyonitaka nitumie Akili ni lini Wewe umewahi Kuzimiliki hizo Akili Ubongoni mwako? Authentic Imbecile kama Wewe anaweza kuwa na Akili?

Utahangaika mno kutumia Multiple ID's zako Kupambana nami GENTAMYCINE 'Purely Talented, Charismatic Fella, Game Changer and Entertainer' ila hutoniweza kwani tayari nina Tunu ( Shani ) nyingi za Ubarikio kutoka Kwake Baba Muumba Mwenyezi Mungu.

Ningekuwa Popoma ( Mpumbavu ) kama usemavyo ningekuwa na Great Thinkers Followers wangu 117+ nilionao mpaka sasa? Wewe usiye Popoma una hata Follower Mmoja tu? Na usichokijua hilo Neno Pendwa hapa JamiiForums la Popoma Mimi GENTAMYCINE ndiyo nililianzisha mwaka 2014 baada ya Kutohoa maneno ya Kizaramo na Kindengereko ndipo nikalitengeneza na leo limepata Mashiko hapa Jamvini na Kwingineko.

Nimemaliza.
Kumbe neno Popoma humu tokea 2014 !mimi nilijua limekuja juzijuzi tu maana nimejiunga Jf 2017 nimekuta neno hilo likitrend sana humu mpaka leo umaarufu wake hujachuja sababu mwanzilishi unalitendea haki jina lako.
 
Back
Top Bottom