Yanga SC ikishinda leo na Kufuzu Fainali CAFCC nawakabidhi Mke wangu Mrembo mserebuke nae kwa Siku 3

Wewe jamaa kama mchawi flani hivii yule mwenye wivu anayeloga mpaka kuku wa majirani zake
 
Baada ya Yanga SC Kushinda leo na Kuahidi kumtoa Mke wangu ambaye hata hivyo sina huyo Mke niseme tu Asanteni kwa Ushirkiano wenu juu ya huu Uzi wangu hasa kwa Kuuchangia na Kuchangamshana.
Wacha utani mzeee mimi nimeshanunua kilainishi ....Sasa kama umemkimbiza mama itabidi tukuvune wewe ili siku nyingine uwe na akili
 
Attachments

  • images (23).jpeg
    20.6 KB · Views: 1
Baada ya Yanga SC Kushinda leo na Kuahidi kumtoa Mke wangu ambaye hata hivyo sina huyo Mke niseme tu Asanteni kwa Ushirkiano wenu juu ya huu Uzi wangu hasa kwa Kuuchangia na Kuchangamshana.
🤣🤣🤣🤣🤣 Duuuh! Mkuu mbona ivyo tena watu walikuwa washajiandaa na mkongo!
 
Dua zangu zote kwa Marumo Gallants FC leo huko Kwako Afrika Kusini.
Sasa ndugu nikabidhi mimi mwananchi mwaminifu mkereketwa,mfurukutwa niweze mwasilisha kwa timu kubwa pendwa Wananchi,FAINALI FC🤸🤸🤸🤸😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…