Captain 666
JF-Expert Member
- Nov 5, 2021
- 660
- 1,236
Mkuu za saizi. Tunafanyaje hapo mkuu naona wananchi wapo vzrDua zangu zote kwa Marumo Gallants FC leo huko Kwako Afrika Kusini.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu za saizi. Tunafanyaje hapo mkuu naona wananchi wapo vzrDua zangu zote kwa Marumo Gallants FC leo huko Kwako Afrika Kusini.
Tunamtaka mke wetuDua zangu zote kwa Marumo Gallants FC leo huko Kwako Afrika Kusini.
Naunga mkono hojaJamaa mke wake sabuni
Tupe wa lucheleleBaada ya Yanga SC Kushinda leo na Kuahidi kumtoa Mke wangu ambaye hata hivyo sina huyo Mke niseme tu Asanteni kwa Ushirkiano wenu juu ya huu Uzi wangu hasa kwa Kuuchangia na Kuchangamshana.
Wacha utani mzeee mimi nimeshanunua kilainishi ....Sasa kama umemkimbiza mama itabidi tukuvune wewe ili siku nyingine uwe na akiliBaada ya Yanga SC Kushinda leo na Kuahidi kumtoa Mke wangu ambaye hata hivyo sina huyo Mke niseme tu Asanteni kwa Ushirkiano wenu juu ya huu Uzi wangu hasa kwa Kuuchangia na Kuchangamshana.
Yuko wapi?Dua zangu zote kwa Marumo Gallants FC leo huko Kwako Afrika Kusini.
Tuje?Huyo mke ni kifaa ama? Usije ukawapa kaka zangu vitu fake. Ushindi upo, mke mlete akae kwngu 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
🤣🤣🤣🤣🤣 Duuuh! Mkuu mbona ivyo tena watu walikuwa washajiandaa na mkongo!Baada ya Yanga SC Kushinda leo na Kuahidi kumtoa Mke wangu ambaye hata hivyo sina huyo Mke niseme tu Asanteni kwa Ushirkiano wenu juu ya huu Uzi wangu hasa kwa Kuuchangia na Kuchangamshana.
Sasa ndugu nikabidhi mimi mwananchi mwaminifu mkereketwa,mfurukutwa niweze mwasilisha kwa timu kubwa pendwa Wananchi,FAINALI FC🤸🤸🤸🤸😂Dua zangu zote kwa Marumo Gallants FC leo huko Kwako Afrika Kusini.
Sasa hizo siku tatu kwa mkongo itakuwaje🤸🤸🤸😂🤣🤣🤣🤣🤣 Duuuh! Mkuu mbona ivyo tena watu walikuwa washajiandaa na mkongo!