MINOCYCLINE
JF-Expert Member
- Apr 2, 2015
- 8,018
- 16,802
Dua zangu zote kwa Marumo Gallants FC leo huko Kwako Afrika Kusini.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwahiyo umetafuta namna ya kumpa talaka, ukaona iwe hii..!!!Dua zangu zote kwa Marumo Gallants FC leo huko Kwako Afrika Kusini.
Mposto hapa tumuoneDua zangu zote kwa Marumo Gallants FC leo huko Kwako Afrika Kusini.
Naunga mkono hojaWe pisi kama ina date na popoma inaonesha imeshajichokea hiyo nani ataitaka
Angemposti ingekuwa poa sanaPisi za kikurya ni mbovu sana, baki nae tu mwenyewe
USIPOTEZE MUDA WAKO !! LEO HISTORIA INAANDIKWA !!Dua zangu zote kwa Marumo Gallants FC leo huko Kwako Afrika Kusini.
Maskini mke wakoDua zangu zote kwa Marumo Gallants FC leo huko Kwako Afrika Kusini.
Mtu unayeamini ana akili ukigundua Hana kabisa inaumiza Sana. Mwanaume unaanzaje kutoa ahadi ya Kipuuzi kama hii?Acha upumbavu mtoa mada, unajua thamani ya mke? unamfananisha mwanamke kama kitu na sio mtu? kwanini usijitoe ww mwenyewe kwa madume yakakuchakaza, hivi ungekuja kusikia siku moja baba yako alimbetia mama yako kwa upumbavu wa hivi ungemfikiliaje, uwe na heshima kwa wanawake. Alaaaa.