Yanga SC ikishinda leo niitwe Aziza Jumanne

Kama nilivyoandika hapo.

Leo tujiandae kuona kocha mpya akiaibika. Yanga kama hamtaki aibu fanyeni kumkodi kocha wa Azam FC na team yake awasaidie otherwise Ibenge na Al Hilal yake atawauwa kweupe na taifa kuingia fedhea.
Kuna mambo ukiyaona na kusikia tu unajua nipo Tanzania hata kama umefungwa kitambaa usoni
 
Hizi ahadi rekodini video,ili mabasha wakiwaona wapate pakuanzia.

Maana JF kuanzia majina mpaka picha ni fake, vizuri mkaredi video na kwa kuwa umetaka mwenyewe role ya mwanamke basi mabasha hawatopata lawama.
Aweke rehani Channel "O" - sio majina tu...
 
Hizi ahadi rekodini video,ili mabasha wakiwaona wapate pakuanzia.

Maana JF kuanzia majina mpaka picha ni fake, vizuri mkaredi video na kwa kuwa umetaka mwenyewe role ya mwanamke basi mabasha hawatopata lawama.
Hii sasa ni too much. Hata kama ni utani mtu unapata wapi ujasiri wa kujifikiria uwe mwanamke?
 
Duniani hakuna majina ya kike wala ya kiume.Toka nje ya boksi.Uliwahi kuona jina lina uume au uke fizikale?
Majina ya kiume na kike yapo boss ila yanabadilika kulingana na jamii. Kwani unaweza muita kijana wako wa kiume mrembo Agness?
 
Kama nilivyoandika hapo.

Leo tujiandae kuona kocha mpya akiaibika. Yanga kama hamtaki aibu fanyeni kumkodi kocha wa Azam FC na team yake awasaidie otherwise Ibenge na Al Hilal yake atawauwa kweupe na taifa kuingia fedhea.
Hiyo aibu utaipata wewe Aziza
 
Kama nilivyoandika hapo.

Leo tujiandae kuona kocha mpya akiaibika. Yanga kama hamtaki aibu fanyeni kumkodi kocha wa Azam FC na team yake awasaidie otherwise Ibenge na Al Hilal yake atawauwa kweupe na taifa kuingia fedhea.
SAWA. Muda ni rafiki
 
Aziza Asumani
 
20241126_013210.jpg
 
Back
Top Bottom