Be calm
JF-Expert Member
- May 20, 2023
- 3,766
- 8,959
🧡✌️Mimi nipigwe ban ya mwaka mzima
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🧡✌️Mimi nipigwe ban ya mwaka mzima
Mwiko ulipo ni changamoto sana.Yanga oyeeeeeeeeeeee haaaa ahaaaaa
TawireKama nilivyoandika hapo.
Leo tujiandae kuona kocha mpya akiaibika. Yanga kama hamtaki aibu fanyeni kumkodi kocha wa Azam FC na team yake awasaidie otherwise Ibenge na Al Hilal yake atawauwa kweupe na taifa kuingia fedhea.
We mchawi nnLeo upo uhakika wa kupiga sindano na ushirikina wote. Tegemea goli kipindi cha pili
Yanga wanahitaj maombi
Hakika,wasipoangalia hofu itawamaliza kama ilivyokuwa kwa Simba aisee....hofu ni mbaya sanaYanga wanahitaj maombi
PoleAziza kawambwa ndio litakupendeza zaidi Mkuu.
Et mama😂Sawa mama
Ngapi hukoDada Aziza, Yanga anashinda asubuhi na mapema goli 2 kuendelea