demigod
JF-Expert Member
- Jan 2, 2015
- 8,292
- 15,250
Kuna Mjadara Unzazungumzwa Sana Pasi na Kuangaliwa na Kutazamwa Kwa Jicho la Ziada.
Suala la Idadi kubwa ya wachezaji wa Simba SC kuitwa kwenye Timu za Taifa.
Kiufupi iko hivi:
Dar es Salaam Young Africans SC Ina Idadi Kubwa ya wachezaji wanaotokea katika Mataifa yaliyopiga hatua kubwa sana kimpira ukilinganisha Simba SC. Idadi kubwa ya wachezaji ya kigeni walioko Simba SC wanatokea katika mataifa yasiyo juu katika viwango vya soka. Hali inayopelekea kupata nafasi katika timu zao kwa sababu ya kutokuwapo na ushindani wa namba na wachezaji wanao cheza nje ya Bara la Africa.
Jangwani:
Mabingwa wa Kihistoria wana wachezaji kutoka Mataifa tofauti manne (4) ambayo kati ya hayo manne ni matatu (3) tu ambayo ni mataifa yaliyoendelea kisoka na yana historia yao katika mpira wa kiafrika. Yanga wana mchezaji mmoja tu kutoka kwenye taifa lenye kiwango cha wastani Kimpira.
1. DR Congo - Wengine 9
2. Mali - Djigui Diarra
3. Burkina Faso - Yacouba Sogne
4. Uganda - Khalid Aucho
Hayo mataifa ambayo nimeyawekea rangi nyekundu ni mataifa Makubwa kimpira. Ukiingia na kuanza kufanya tathmini ya vikosi vyao utagundua wachezaji wengi wanatokea katika Ligi Maarufu barani Ulaya.
Je, ni mchezaji gani wa kigeni kutoka Simba SC ambaye angeweza kupata nafasi katika timu ya Taifa ya Congo, Mali au Burkinabe?
Yanga ina jumla ya wachezaji 11 ambao hawana uhakika na matarajio makubwa ya kuitwa kwenye mataifa yao Ukiachana na Khalid Aucho ambaye panga pangua ni lazima aanze kwenye kikosi cha timu ya taifa cha Uganda kutokana na ukweli kuwa hakuna mchezaji wa Calibre yake anayeweza kumfikia uwezo.
Msimbazi:
Simba SC ina wachezaji kutoka Mataifa tofauti manne (10) ambayo kati ya hayo manne ni matatu (5) tu ambayo ni mataifa yaliyoendelea kisoka na yana historia yao katika mpira wa kiafrika. Kati ya wachezaji 12 wa kigeni Simba SC wana wachezaji (6) tu kutoka kwenye mataifa yenye viwango cha wastani Kimpira.
Je katika mazingira kama haya Simba SC inashindwaje kupeleka wachezaji wengi wa kimataifa kwenye Timu zao za Taifa? Kumbuka kuwa Yanga SC ina mchezaji mmoja tu kutoka taifa lenye rank ya wastani kimpira wakati huo huo Simba ina wachezaji sita kutoka taifa lenye rank ya wastani kimpira.
1. Malawi -2
2. Zambia - 1
3. Rwanda - 1
4. Kenya - 1
5. Uganda - 1
6. DR Congo - 2
7. Ghana - 1
8. Ivory Coast - 1
9. Senegal - 1
10. Mali - 1
Je, Simba SC ingekuwa na wachezaji 11 kutoka mataifa ya Congo DR, Mali & Burkina Faso - ni wangapi wangepata kuitwa katika timu zao za Taifa?