Yanga SC jana waliingia uwanjani na wachezaji wa nne kwenye basi lao lakini timu nzima ikaingia na coaster, kitaalamu imekaaje?

Yanga SC jana waliingia uwanjani na wachezaji wa nne kwenye basi lao lakini timu nzima ikaingia na coaster, kitaalamu imekaaje?

Mkalukungone mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
862
Reaction score
1,755
Katika mchezo wa jana wa ngao ya jamii kati ya Yanga SC na Simba SC wakati timu zote zina wasili uwanjani.

Yanga waliwasili na Wachezaji wa nne pekee kwenye basi lao kubwa na wachezaji wengine na benchi la ufundi waliwasili na costa.

Wanasoka kitaalamu imekaaje hii?
 
13 au 1+3 = 4 . Ngoja wataalamu wa numerology waje .

#Angalizo:Yesu Kristo anakuja . Acheni kuendekeza uchawi .
 
Back
Top Bottom