Tetesi: Yanga Sc kuachana na Kocha Mkuu Nabi

Tetesi: Yanga Sc kuachana na Kocha Mkuu Nabi

Kwa lile pira alilotembezewa na simba juzi wana haki ya kuachana nae, maana walisema wanajipima na simba kimataifa. Watamchukua mgunda sasa
Hivi Simba walishinda ngapi maanake sikufuatilia hiyo mechi.
 
Simba yamfukuzisha kazi Nabi ndicho kilipaswa kuwa kichwa cha habari, ule moto waliopelekewa jpili ilikuwa lazima hiki kitokee

Ingawa sasa timing ya kumfukuza imekuwa mbaya maana atarudi kwao na yanga mna mechi na timu ya kwao mtapigwa nyingi sana mkienda

Na jumatano na kmc ni kipigo cha kwanza wananchi watakipokea
Sio mgunda awe mgunda isiwe Simba Simba ipo kitambo na hakufukuzwa

Sent from my Infinix X688C using JamiiForums mobile app
 
Inasemekana leo baadhi ya viongozi wa Yanga wamehamasisha mashabiki wao kusimmama na kutoa heshima za mwisho kwa kocha Nabi wakati wa mechi yao na KMC hapo baadae leo
 
Hii
View attachment 2397066
YANGA YAACHANA NA KOCHA NASREDDINE NABI.
Taarifa rasmi zitakuijia hivi punde. Usiondoke

Anaandika Jemedari Saidi

Habari za uhakika zinasema Kocha NASRIDEEN MOHAMED NABI maisha yake na Yanga SC yamefikia tamati na ataondoka muda wowote.

Pamoja na mambo mengine lakini usajiri wa baadhi wa mastaa unahusishwa, huku ikisemekana kwamba aligomea kwa kutoa sababu za kiufundi. Nabi pia anahusishwa na magomvi na wasaidizi wake kwa muda sasa na misimamo mikali.

Kwenye soka sajili zingine ni "Political Signings" ambazo wakubwa ndiyo wanajua zaidi kwanini wanamtaka Kisinda, Morrison au Makambo kwa mfano, kuliko vile Kocha anavyotaka.

Kwahiyo kocha kuleta mambo yake ya kiufundi ni kutaka kuchelewesha maisha kuwa mepesi na kuyatia ugumu.

Kocha wa Vipers ya Uganda Mbrazil Roberto Oliveira anahusishwa na kuchukua nafasi ya Nabi ambaye ameiongoza Yanga SC kwenye michezo 43 ya Ligi Kuu bila kupoteza.

Mechi ya Derby ilikuwa ndiyo njia rahisi kumuondolea kama Yanga wangepoteza lakini mechi ikaisha kwa sare. Kama atafika salama mechi dhidi ya Club Africain itakua mtihani mkubwa sana kwake, asipotoboa hana chake. Waswahili wanasema 'Kamba hukatikia pabovu

Credit: Bin Kazumari
Hii mliishia wapi nayo ? Naona mwaka sasa ..
 
Nabi mpaka leo yupo.Na huyo kocha wa Vipers leo.yupo.Simba..Li Jemedari.ni liongooooo jamani. LILIDANGANYA PIA AZIZ KI HAJI YANGA.
 
Back
Top Bottom