permanides
JF-Expert Member
- May 18, 2013
- 11,682
- 14,241
Simba walishinda ngapi?Kwa lile pira alilotembezewa na simba juzi wana haki ya kuachana nae, maana walisema wanajipima na simba kimataifa. Watamchukua mgunda sasa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Simba walishinda ngapi?Kwa lile pira alilotembezewa na simba juzi wana haki ya kuachana nae, maana walisema wanajipima na simba kimataifa. Watamchukua mgunda sasa
Simba watushindwe afu KMC watufunge, vichwa vingine vimejaza ujinga mwingiSimba yamfukuzisha kazi Nabi ndicho kilipaswa kuwa kichwa cha habari, ule moto waliopelekewa jpili ilikuwa lazima hiki kitokee
Ingawa sasa timing ya kumfukuza imekuwa mbaya maana atarudi kwao na yanga mna mechi na timu ya kwao mtapigwa nyingi sana mkienda
Na jumatano na kmc ni kipigo cha kwanza wananchi watakipokea
Tehtehteh kolo vs koloProfessionally ulipaswa utoe Credit kwa Source ya hii Taarifa ambako ni katika Gazeti la Michezo la Mwanaspoti na siyo Kujifanya kama ni yako Mwenyewe umeitafuta ( umeichimba ) wakati hata Uwezo huo huna.
Povu rukhsa baada ya hii Sindano.
Hujajifunza tu tangu Uzi wako wa Kibu D vs Mayele!View attachment 2397066
YANGA YAACHANA NA KOCHA NASREDDINE NABI.
Taarifa rasmi zitakuijia hivi punde. Usiondoke
Anaandika Jemedari Saidi
Habari za uhakika zinasema Kocha NASRIDEEN MOHAMED NABI maisha yake na Yanga SC yamefikia tamati na ataondoka muda wowote.
Pamoja na mambo mengine lakini usajiri wa baadhi wa mastaa unahusishwa, huku ikisemekana kwamba aligomea kwa kutoa sababu za kiufundi. Nabi pia anahusishwa na magomvi na wasaidizi wake kwa muda sasa na misimamo mikali.
Kwenye soka sajili zingine ni "Political Signings" ambazo wakubwa ndiyo wanajua zaidi kwanini wanamtaka Kisinda, Morrison au Makambo kwa mfano, kuliko vile Kocha anavyotaka.
Kwahiyo kocha kuleta mambo yake ya kiufundi ni kutaka kuchelewesha maisha kuwa mepesi na kuyatia ugumu.
Kocha wa Vipers ya Uganda Mbrazil Roberto Oliveira anahusishwa na kuchukua nafasi ya Nabi ambaye ameiongoza Yanga SC kwenye michezo 43 ya Ligi Kuu bila kupoteza.
Mechi ya Derby ilikuwa ndiyo njia rahisi kumuondolea kama Yanga wangepoteza lakini mechi ikaisha kwa sare. Kama atafika salama mechi dhidi ya Club Africain itakua mtihani mkubwa sana kwake, asipotoboa hana chake. Waswahili wanasema 'Kamba hukatikia pabovu
Credit: Bin Kazumari
Ila wewe jamaa una kila dalili za kua MwijakuView attachment 2397066

Wewe ni Kabwili kabisaaIla wewe jamaa una kila dalili za kua Mwijaku
Hizi fake ID zina mengi, possibly kabisa.Ila wewe jamaa una kila dalili za kua Mwijaku
Jitathmini, ukiwa Mzee utakuwa mchawi.View attachment 2397066
YANGA YAACHANA NA KOCHA NASREDDINE NABI.
Taarifa rasmi zitakuijia hivi punde. Usiondoke
Anaandika Jemedari Saidi
Habari za uhakika zinasema Kocha NASRIDEEN MOHAMED NABI maisha yake na Yanga SC yamefikia tamati na ataondoka muda wowote.
Pamoja na mambo mengine lakini usajiri wa baadhi wa mastaa unahusishwa, huku ikisemekana kwamba aligomea kwa kutoa sababu za kiufundi. Nabi pia anahusishwa na magomvi na wasaidizi wake kwa muda sasa na misimamo mikali.
Kwenye soka sajili zingine ni "Political Signings" ambazo wakubwa ndiyo wanajua zaidi kwanini wanamtaka Kisinda, Morrison au Makambo kwa mfano, kuliko vile Kocha anavyotaka.
Kwahiyo kocha kuleta mambo yake ya kiufundi ni kutaka kuchelewesha maisha kuwa mepesi na kuyatia ugumu.
Kocha wa Vipers ya Uganda Mbrazil Roberto Oliveira anahusishwa na kuchukua nafasi ya Nabi ambaye ameiongoza Yanga SC kwenye michezo 43 ya Ligi Kuu bila kupoteza.
Mechi ya Derby ilikuwa ndiyo njia rahisi kumuondolea kama Yanga wangepoteza lakini mechi ikaisha kwa sare. Kama atafika salama mechi dhidi ya Club Africain itakua mtihani mkubwa sana kwake, asipotoboa hana chake. Waswahili wanasema 'Kamba hukatikia pabovu
Credit: Bin Kazumari
Tuliza sambwanda hilo,usiwafundishe mods kazi zao
Ila wewe huwa hazikutoshi kabisa[emoji23]Hizi fake ID zina mengi, possibly kabisa.
Wewe utakuwa Mashalove siyo bure, au Juma Lokole.Tuliza sambwanda hilo,usiwafundishe mods kazi zao
Acheni kujifanya watabiri hakuna kocha wa kukaa miaka mingi kwa timu zetu, usije kushangaa akaanza kufukuzwa Mgunda kabla ya Nabi.sema huu uzi utaishi ni swala la muda kidogo tu sana siku za usoni.