Tetesi: Yanga Sc kuachana na Kocha Mkuu Nabi

Washaanza kuchanganyikiwa...timu za bongo nuksi sana
 
Halafu huyu nae kuongea hivi ndo kutaka Mgunda aonekane mbaya wamfukuze au? Maana Mgunda hajafungwa mpk sasa iwe utopolo au timu nyingine.
Msemaji wenu ndio kishasema jana kwenye press Conference ya mechi yenu na Azam.
 
Anataka muongee anajua mtasahau kujiandaa na mechi yenu ijayo mtaanza kumjadili mgunda.
Kaongea ukweli mlikuwa mkiukataa, sisi tumeanza kujiandaa na waarabu tokea mechi iliyopita. Ile mechi ya Jpili hatuja ichukulia serious sababu tushamfunga mara nyingi.
 
Kama hii tetesi ina ukweli basi Yanga haina uongozi.

Hersi ni mbabaishaji, huwezi kumtimua kocha aliyekupa ubingwa kwa mechi zaidi ya 40 bila kufungwa

Kama kumtimua kocha kumesababishwa na perfomance ya kimataifa basi nalo mnatakiwa mjitafakari sana.

Kwasababu wote mechi tuliangalia na kitu kilichoonekana ilikuwa ni uzembe wa wachezaji na sio Kocha.

Mayele alikuwa anacheza kwa faida yake na sio timu, kila mtu anataka aibuke worrior. Sasa hapo kosa la Nabi liko wapi?
Ukiacha unazi Hua Unaandika sense, good observation
 
Wameona wakiendelea kumuacha Profesa Nabi wa kushinda mechi za ndani pekee wale waarabu wa Tunisia wangekuja kupiga kwenye mshono waliacha wale Wanubi.
Sent from my SM-i Phone 14 Pro Max (APPLE 67''-1 TB-Dorado) using JamiiForums mobile app
 
Kama hii tetesi ina ukweli basi Yanga haina uongozi.

Hersi ni mbabaishaji, huwezi kumtimua kocha aliyekupa ubingwa kwa mechi zaidi ya 40 bila kufungwa

Kama kumtimua kocha kumesababishwa na perfomance ya kimataifa basi nalo mnatakiwa mjitafakari sana.

Kwasababu wote mechi tuliangalia na kitu kilichoonekana ilikuwa ni uzembe wa wachezaji na sio Kocha.

Mayele alikuwa anacheza kwa faida yake na sio timu, kila mtu anataka aibuke worrior. Sasa hapo kosa la Nabi liko wapi?
huu ni ukweli wa wazi, ikiwa kweli ntakuwa wa kwanza kushangilia tupigwe hata mechi 10 za awali ili raisi nae aonekane hafai maamuzi gani ya kibwege haya
 
Kama hii tetesi ina ukweli basi Yanga haina uongozi.

Hersi ni mbabaishaji, huwezi kumtimua kocha aliyekupa ubingwa kwa mechi zaidi ya 40 bila kufungwa

Kama kumtimua kocha kumesababishwa na perfomance ya kimataifa basi nalo mnatakiwa mjitafakari sana.

Kwasababu wote mechi tuliangalia na kitu kilichoonekana ilikuwa ni uzembe wa wachezaji na sio Kocha.

Mayele alikuwa anacheza kwa faida yake na sio timu, kila mtu anataka aibuke worrior. Sasa hapo kosa la Nabi liko wapi?
Kosa la NABI ni kumpanga Mayele na sio Makambo. Mayele anaecheza kibinafsi sio Bora kuliko Makambo anaecheza kitimu. Sasa Kwa nini Mayele hakutolewa mapema ili aingie Makambo au yoyote. Hapo ndio kosa la kocha lilipo. Yeye kocha ndio huwa anaefanya selection ya wachezaji Kwa hiyo hakuna ' wachezaji kucheza kibinafsi' bila kocha kuwajibika.
 
Mimi na wewe wote tunaelewa kuwa hakuna kiongozi yeyote pale Yanga anayeweza kufurahia maamuzi ya kocha ya kumuanzisha Makambo na kumuweka Mayele benchi.

Truth to be told, Mayele is far better than Makambo

Hata wastani wa mechi alizocheza Makambo japo katika muda mchache alioingia bado sikuiona ile fighting spirit zaidi ya mashuti marefu yasiyokuwa na mipango yaliyokuwa yakiishia kwenda nje la lango.

Mayele kiuwezo yuko mbali kumzidi Makambo, ila Makambo labda tumeuongelee kwenye swala la ubinafsi hapo ndio naweza kumpa advantage yeye ikiwa tutawaweka hawa wawili katika comparison.

Japo Mayele kwenye mechi za mikoani nimeshududia amekuwa akizidiwa na Makambo (my opinions) ila bado ukisema nitaje Striker bora basi kura yangu nitampa Mayele.
 
Back
Top Bottom