Tetesi: Yanga Sc kuachana na Kocha Mkuu Nabi

Kwa lile pira alilotembezewa na simba juzi wana haki ya kuachana nae, maana walisema wanajipima na simba kimataifa. Watamchukua mgunda sasa
Hivi Simba walishinda ngapi maanake sikufuatilia hiyo mechi.
 
Sio mgunda awe mgunda isiwe Simba Simba ipo kitambo na hakufukuzwa

Sent from my Infinix X688C using JamiiForums mobile app
 
Inasemekana leo baadhi ya viongozi wa Yanga wamehamasisha mashabiki wao kusimmama na kutoa heshima za mwisho kwa kocha Nabi wakati wa mechi yao na KMC hapo baadae leo
 
Hii Hii mliishia wapi nayo ? Naona mwaka sasa ..
 
Nabi mpaka leo yupo.Na huyo kocha wa Vipers leo.yupo.Simba..Li Jemedari.ni liongooooo jamani. LILIDANGANYA PIA AZIZ KI HAJI YANGA.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…