Yanga sc kumsajili Jonas Mkude ni matumizi mabaya ya fedha

Hamis Thobias Gaga hakwenda Yanga kwa kuachwa na simba kwasababu ya kwamba hakuwa na kiwango cha kuchezea simba. Alienda kwa fitina za mpira wa hivi vilabu viwili. Alitoka simba akiwa anakiwasha sana yule jamaa .

Kama kama kama usemacho ni kweli tena kweli tupu, basi yule mzee wa Tabora ajengewe tu, kwasababu ana maono sana.
Kwanini nasema hivi?
Kwasababu, kuna mechi ya Yanga na Simba, Hamisi Gaga alikiwasha balaa washabiki wa Simba niliwaona kwa macho yangu haya mawili na kuwasikia kwa masikio yangu haya mawili,wakiwa wanawalaumu na sikulaumu tu, mpaka matusi juu kwa viongozi wao kwanini wamemuacha Gaga mpaka kupeleka kujiunga Yanga na hatimae kuwatesa.
Hapa maana yale fans/members wale hawakua wanajua chochote kilichotokea kuhusu Gaga na klabu yao.
 
Ushamba tu unakusumbua umeijua Yanga enzi za Mayele ndiyo maana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…