Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Halafu wewe ndio utalisha familia yake?Mkude kama ana ndoto za kuwa mto yeyote pale Simba hapo baadae, asiende Yanga.
Ni ushauri kutokana na nilichokiona kwa miaka yote ya soka la Tanzania.Halafu wewe ndio utalisha familia yake?
Mwameja mmempa kazi gani Simba?Ni ushauri kutokana na nilichokiona kwa miaka yote ya soka la Tanzania.
Muda utaongea.Tusiandikie mate wakati wino upo.Hamisi Gaga huwezi kumfananisha na Mkude au Niyonzima aliporudi Yanga.
Gaga alikuwa bado ana kiwango kikubwa mno.
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Umetoa mfano mzuri sana. Unajua kwa nini mpaka leo hapewi kazi Simba wala hawamshirikishi kwa lolote?Mwameja mmempa kazi gani Simba?
Unaniuliza Mimi Tena?Umetoa mfano mzuri sana. Unajua kwa nini mpaka leo hapewi kazi Simba wala hawamshirikishi kwa lolote?
Na huyu kama atatua Uto, tutajua tu kama nae alikua na kiwango kikubwa au kidogo.Gaga aliondoka Simba akiwa na kiwango kikubwa
Kumbe haujui. Mimi nilidhani unajua unachoongea.Unaniuliza Mimi Tena?
Hamis Thobias Gaga hakwenda Yanga kwa kuachwa na simba kwasababu ya kwamba hakuwa na kiwango cha kuchezea simba. Alienda kwa fitina za mpira wa hivi vilabu viwili. Alitoka simba akiwa anakiwasha sana yule jamaa .
Ushamba tu unakusumbua umeijua Yanga enzi za Mayele ndiyo maana.NALIA NGWENA huwa sipendi kupepesa macho katika Jambo la ukweli.
Yanga Sc inaviungo wengi wakabaji na ninadhani kwa pale Yanga ndiyo eneo lenye viungo wengi.
Namba 6,8 Kuna Khalid Aucho, Sureboy, Zawadi Mauya,Yaniki bangala na Yahya Mudathir.
Jonas Mkude kwa asilia ni namba 6 ambapo kwa Yanga Kuna Mudathir, bangala, na nikitazama kiwango Cha Mkude sidhani Kama ataweza kumuweka benchi bangala au Mudathri hata Kama atawekwa namba 8 acheze bado naiona nafasi ya Sure boy mbele ya Jonas Mkude.
Kama hizi tetesi ni kweli Yanga watamsajili Jonas Mkude Basi ni matumizi mabaya ya fedha huo ni ukweli usiopingika.
Usajili wa Jonasi Mkude ni siasa ya mpira tu sidhani Kama ana umuhimu /uhitaji mkubwa katika kikosi Cha Yanga Sc.
Nawasilisha hoja.View attachment 2672790
Mtovu wa nidhamu pale simba hawatampa kituMkude kama ana ndoto za kuwa mto yeyote pale Simba hapo baadae, asiende Yanga.
Acha ujuha jikite kwenye hojaUshamba tu unakusumbua umeijua Yanga enzi za Mayele ndiyo maana.
Ha ha mwacheni kijana apate ulaji. Mnataka aende mtibwa?? Kwa mshahara upi??Kabisa