Tetesi: Yanga sc Kushusha Mbadala wa Aucho

Tatizo hapati kadi za "kazi"ila ni za utovu wa nidham mf tukio la juzi dhidi ya Ajibu halikuwa na umuhimu kiasi Cha kupata kadi na hata Ile ya mwaka Jana
Anapaswa kurekebisha muenendo mbona Akaminko anajitahidi kuzuia hasira
Kila mmoja ana namna anavyoweza kupambana na tatizo analokutana nalo.... Ajibu alichokifanya alistahili kupata hicho.
 
Ni ngumu,na 6 hasa holding au defensive ukatili muhimu
Ndio maana unaona yanga Mara nyingi akikosekana Aucho beki line yetu inaonekana unga, angalia Dm ya Simba "Ngoma" very soft ndio maana unaona wameruhusu gori karibia kila mechi!. Aucho ni mtu hatari na Mara nyingi ukifuatilia wakikutana na Mzamiru huwa lazima watembezeane biti coz Mzamiru pia ana kazi fulani chafu.
 
Nilikuwa shabiki mkubwa wa Aucho ila utovu wa nidhamu awapo uwanjani umenivunja moyo.

Anafanya makosa ambayo huwezi kuyategemea kutoka kwa mchezaji pro kama yeye, mbadala wake sio mjadala tena... anahitajika haraka.
USHAAMBIWA KIUNGO "MKABAJI"
Angekuwa uraiani angepigwa mawe au kuchomwa moto.
Namba zingine uwanjani ni za moto.
ILA UTOPOLO WANGA SANA

Sent from my SM-A042F using JamiiForums mobile app
 
Ndio maana unaona yanga Mara nyingi akikosekana Aucho beki line yetu inaonekana unga, angalia Dm ya Simba "Ngoma" very soft ndio maana unaona wameruhusu gori karibia kila mechi!. Aucho ni mtu hatari na Mara nyingi ukifuatilia wakikutana na Mzamiru huwa lazima watembezeane biti coz Mzamiru pia ana kazi fulani chafu.
Sawa sawa ,Aucho ,Mzamiru na hata Kanoute, ni watu wa kazi chafu ,Ngoma ni soft km usemavyo Mkuu ,Mechi zote ambazo Aucho hajacheza Yanga imepigika au kuteseka
 
Okay, ngoja tuchukulie mfano wa mechi iliyoniuma zaidi nusu fainali ya pili kule S.A Vs Marumo... Ile kadi ya kujitakia kwa kumbabua mchezaji vile na mpira tena nje ya uwanja ndio ugumu wa kiungo mkabaji?

Unajua pengo la Aucho ndilo lililotunyima kombe kwa kupoteza ile mechi ya kwanza hapa nyumbani?
Aucho hatufai tena, naunga mkono hoja ya kuletwa mbadala wake yeye atupishe.
Hapana mkuu Aucho bado anatufaa sana, ila kupata mbadala wake ni jambo linalofaa zaidi maana bado tuna mechi nyingi mbele....af tatizo lake ni dogo ni ishu ya benchi la ufundi kuzungumza nae tu asiwe mwepesi wa kutolewa nje ya mchezo akiwa uwanjani.
 
Okay, ngoja tuchukulie mfano wa mechi iliyoniuma zaidi nusu fainali ya pili kule S.A Vs Marumo... Ile kadi ya kujitakia kwa kumbabua mchezaji vile na mpira tena nje ya uwanja ndio ugumu wa kiungo mkabaji?

Unajua pengo la Aucho ndilo lililotunyima kombe kwa kupoteza ile mechi ya kwanza hapa nyumbani?
Aucho hatufai tena, naunga mkono hoja ya kuletwa mbadala wake yeye atupishe.
Hatufai tena??? Aisee Kuna watu hamjui mpira..... Kuna mechi Gani ya muhimu ambayo aucho hajacheza? Engine ya yanga ni aucho na bacca asikudanganye mtu hao watu hawana mbadala kwa sasa.....

Gamondi akiskia kauli yako atakupiga vibao....
 
Okay, ngoja tuchukulie mfano wa mechi iliyoniuma zaidi nusu fainali ya pili kule S.A Vs Marumo... Ile kadi ya kujitakia kwa kumbabua mchezaji vile na mpira tena nje ya uwanja ndio ugumu wa kiungo mkabaji?

Unajua pengo la Aucho ndilo lililotunyima kombe kwa kupoteza ile mechi ya kwanza hapa nyumbani?
Aucho hatufai tena, naunga mkono hoja ya kuletwa mbadala wake yeye atupishe.
Umeongea kindezi, aisee unajua maana ya mbadala, Gamondi amechingulia ameona Aucho akipata injury au kukosa game timu inakosa balance, umuhimu wake ni mkubwa sana akipata mbadala maana yake kwanza hatutakuwa na shaka hata kama Aucho hayupo, lakini pili yanga falsafa yake kila namba kubwa na atleast wachezaji wawili kutoa changamoto kwa mchezaji
 
Okay, ngoja tuchukulie mfano wa mechi iliyoniuma zaidi nusu fainali ya pili kule S.A Vs Marumo... Ile kadi ya kujitakia kwa kumbabua mchezaji vile na mpira tena nje ya uwanja ndio ugumu wa kiungo mkabaji?

Unajua pengo la Aucho ndilo lililotunyima kombe kwa kupoteza ile mechi ya kwanza hapa nyumbani?
Aucho hatufai tena, naunga mkono hoja ya kuletwa mbadala wake yeye atupishe.
Uko sahihi Ile kadi iliigharimu sana team kama Leo Jaburane alivyo wagharimu Wydad
 
Mnao mshambulia Nifah nadhani hamuelewi au mnajilazimisha kutokuelewa kwa ajili ushabiki maandazi uliowajaa. Msiwe na akili kama makolo bana, Aucho hana nidhamu na ni mwepesi kujaa upepo kitu ambacho sio sahihi kwa mchezaji wa level yake na umuhimu alionao kwenye timu yetu. Alikosa fainal ya pili dhidi ya USMA kwa ajili ya tukio la kipuuzi ila pia juzi kati dhidi ya Coastal almanusura ale umeme kwa ajili ya upuuzi. Badala acheze rafu zinazookoa timu anaenda kuwapiga watu viwiko mpira ukiwa umesimama, huyu ni proffessional au mswahili tu flani wa mpira wa vichochoroni?
 
Nifah binafsi mm nimemuelewa vizuri sana na nakubaliana nae kuwa Aucho ana tatizo hilo na aligharimu timu kweli kwenye mechi ile dhidi ya USM Alger nisichokubaliana nae ni kusema aondelewe kwenye timu wakati shida yake ni ya kuzungumzika tu na mtu akaelewa...kwasasa Aucho ndiye BACKBONE ya Yanga.
 
Okay, ngoja tuchukulie mfano wa mechi iliyoniuma zaidi nusu fainali ya pili kule S.A Vs Marumo... Ile kadi ya kujitakia kwa kumbabua mchezaji vile na mpira tena nje ya uwanja ndio ugumu wa kiungo mkabaji?

Unajua pengo la Aucho ndilo lililotunyima kombe kwa kupoteza ile mechi ya kwanza hapa nyumbani?
Aucho hatufai tena, naunga mkono hoja ya kuletwa mbadala wake yeye atupishe.
Anakuja mwingine kuongeza ubora lkn aucho atazidi kuwepo.
Aucho ni mtu chuma. hizo kadi ni kawaida na hazishushi ubora wake
 
Back
Top Bottom