Yanga SC kwanini Jina la Mwanzo la huyu Mchezaji wenu Mpya Mkongomani mnalikwepa kulitaja?

Yanga SC kwanini Jina la Mwanzo la huyu Mchezaji wenu Mpya Mkongomani mnalikwepa kulitaja?

MINOCYCLINE

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2015
Posts
8,018
Reaction score
16,802
Haitwi Lomalisa Mutambala bali anaitwa Joyce Lomalisa Mutambala kutoka Klabu ya Bravos Do Marquis ya nchini Angola.

Bila shaka Msimu huu mtatengeneza na Jezi za Sketi na Blauzi ili Wanawake ( Binti ) na Beki wenu wa Kushoto Joyce Lomalisa Mutambala aweze Kuzivaa.
 
Usiseme Joyce lomalisa sema mtaalamu wa soka , maestroo octupas joyce alveira de santos paquetas de lomalisa oyoo wananchi [emoji617] [emoji617][emoji617][emoji617][emoji617][emoji617][emoji617][emoji471][emoji169][emoji172][emoji169][emoji172][emoji169][emoji172][emoji169][emoji172][emoji169][emoji172][emoji169][emoji172][emoji169][emoji172][emoji169][emoji172][emoji169]
 
Sawa Dada Joyce.
 
Duh! Ushabiki wa Tanzania kiboko. Kuna timu iliwahi kuwa na Msemaji akiitwa GIFT, au ndo maana hakupewa mkataba wa Muda mrefu? Kuna timu moja ina mchezaji anatwa FURAHA Dominic, nadhani watamwacha akacheze netball, kuna timu msimu uliopita mchezaji wake alikuwa anajiita AFUA na jina hilo likasajiriwa Bodi ya ligi na kuandika kwenye jezi yake.
 
Nyie hawa hawa mnaogombania wachezaji na timu iliyotoka kupanda daraja juzi?
Kwa akili zenu mnaamini kabisa kombe litakuja tena kwenu kiulaini, na expectations zenu kimataifa ni kubwa as if mmesajili wachezaji tishio Africa[emoji23].

Ngoja ligi zianze zitawapa break kidogo, kwasasa endeleeni kujipa faraja.
 
Back
Top Bottom