Yanga SC kwanini Jina la Mwanzo la huyu Mchezaji wenu Mpya Mkongomani mnalikwepa kulitaja?

Haitwi Lomalisa Mutambala bali anaitwa Joyce Lomalisa Mutambala kutoka Klabu ya Bravos Do Marquis ya nchini Angola.

Bila shaka Msimu huu mtatengeneza na Jezi za Sketi na Blauzi ili Wanawake ( Binti ) na Beki wenu wa Kushoto Joyce Lomalisa Mutambala aweze Kuzivaa.
Umeishiwa hoja. Kuna majina mangapi hata watangazaji hawakuwa wanayataja ? Kuna balozi alishawahi kataliwa kisa jina..!! Haishangazi kwa Yanga

Pitia hapa

Haitwi Lomalisa Mutambala bali anaitwa Joyce Lomalisa Mutambala kutoka Klabu ya Bravos Do Marquis ya nchini Angola.

Bila shaka Msimu huu mtatengeneza na Jezi za Sketi na Blauzi ili Wanawake ( Binti ) na Beki wenu wa Kushoto Joyce Lomalisa Mutambala aweze Kuzivaa.
Makolo mmekosa cha kukosoa mmeamia kwenye jina

Sent from my Infinix X683 using JamiiForums mobile app
 
Haitwi Lomalisa Mutambala bali anaitwa Joyce Lomalisa Mutambala kutoka Klabu ya Bravos Do Marquis ya nchini Angola.

Bila shaka Msimu huu mtatengeneza na Jezi za Sketi na Blauzi ili Wanawake ( Binti ) na Beki wenu wa Kushoto Joyce Lomalisa Mutambala aweze Kuzivaa.
Sasa Joyce maana si Furaha kwa kibongo mkuu?

Tatizo liko wapi?
 
Mwakalebela akimuelezea JOYCE MONALISA [emoji116][emoji116]
20220712_092954.jpg
 
Hahahaha mashabiki bwana yani mnavyoonge ni kama mmesajili kikosi hatari sana hapa Africa, kuna namna mpira utakuja kuwapunguzia expectations zenu hasa huko kimataifa.

Muda ni mwalimu mzuri.
Safari hii wale mashabiki mamluki, na mwenye mihemko viongozi wa Simba SC wamewapatia sana..!

Maana Simba SC haisajili kwa Presha yao yaani.
 
Back
Top Bottom