Yanga SC kwanini Jina la Mwanzo la huyu Mchezaji wenu Mpya Mkongomani mnalikwepa kulitaja?

Una maisha kwanza, au ndo hivyo unasukuma tu siku? Maana hoja kama hizi haziletwi na watu walioserious na maisha.

Sina cha kukujibu.
Jiwe limekupata baraabara. Mimi Kama Sina maisha wewe pamoja boys mwenzio aliyea zisha huu Uzi wa kiboya ndiyo hoe have choka mbaya, maana mwenye maisha hawezi kuja na Uzi Kama huu
 
Simba nao wako vizuri wameleta kademu kanaitwa Habiba kiyondo anakuja kuungana na demu la kudumu pale msimbazi Aisha mwana wa kumanula.
Ila watoto wa Utopolo wanajua kubong'oa hadi raha
FB_IMG_1586931024261.jpg
 
Jiwe limekupata baraabara. Mimi Kama Sina maisha wewe pamoja boys mwenzio aliyea zisha huu Uzi wa kiboya ndiyo hoe have choka mbaya, maana mwenye maisha hawezi kuja na Uzi Kama huu
Nimeshakwambia siwezi kukaa kijibishana pasipo na hoja ya msingi ila bado huelewi, ngoja niiweke vizuri.

Sipo humu kubishana na makapuku.
 
Sina shaka na kikutokacho maana ndicho uishicho Kapuku bwege
 
Narudia tena sina kawaida ya kubishana na masikini sehemu yoyote ile, labda kama kushaurina au kaleta hoja ya msingi tujadili, ila swala la kubishana nae ni kujishushia heshima yangu tu.

Wewe tafuta masikini wenzako huko upunguze hizo stress za kuparamia watu hovyo.
 
Ningekuona wa maana ungekaa kimya, kwa kuwa umechagua kujibizana level yako Ni maskini tu km maskini wenzio period.
 
Haitwi Lomalisa Mutambala bali anaitwa Joyce Lomalisa Mutambala kutoka Klabu ya Bravos Do Marquis ya nchini Angola.

Bila shaka Msimu huu mtatengeneza na Jezi za Sketi na Blauzi ili Wanawake ( Binti ) na Beki wenu wa Kushoto Joyce Lomalisa Mutambala aweze Kuzivaa.
Ni kukosa akili mtu kuanzisha thread kujadili jina la mtu mwingine.
 
Back
Top Bottom