Yanga SC kwanini Jina la Mwanzo la huyu Mchezaji wenu Mpya Mkongomani mnalikwepa kulitaja?

Yanga SC kwanini Jina la Mwanzo la huyu Mchezaji wenu Mpya Mkongomani mnalikwepa kulitaja?

Haitwi Lomalisa Mutambala bali anaitwa Joyce Lomalisa Mutambala kutoka Klabu ya Bravos Do Marquis ya nchini Angola.

Bila shaka Msimu huu mtatengeneza na Jezi za Sketi na Blauzi ili Wanawake ( Binti ) na Beki wenu wa Kushoto Joyce Lomalisa Mutambala aweze Kuzivaa.
15173982-1717-4BCB-9E5F-F62810396296.jpeg
 
Aah Da Joy wowowo umeumbika, kishundu mbinuko kama chote
Hiyo post uliyoni quote naomba uifute nilikusudia kuandika bwana...ikajiandika mbwa plz nime edit ni vibaya kumuita mtu jina la mnyama...sorry mkuu haikuwa kusudi langu
 
Usiseme Joyce lomalisa sema mtaalamu wa soka , maestroo octupas joyce alveira de santos paquetas de lomalisa oyoo wananchi [emoji617] [emoji617][emoji617][emoji617][emoji617][emoji617][emoji617][emoji471][emoji169][emoji172][emoji169][emoji172][emoji169][emoji172][emoji169][emoji172][emoji169][emoji172][emoji169][emoji172][emoji169][emoji172][emoji169][emoji172][emoji169]
Umetisha mwananchi
 
Haitwi Lomalisa Mutambala bali anaitwa Joyce Lomalisa Mutambala kutoka Klabu ya Bravos Do Marquis ya nchini Angola.

Bila shaka Msimu huu mtatengeneza na Jezi za Sketi na Blauzi ili Wanawake ( Binti ) na Beki wenu wa Kushoto Joyce Lomalisa Mutambala aweze Kuzivaa.
Popoma na mbumbumbu wenzako
FB_IMG_16576156266423416.jpg
 
Haitwi Lomalisa Mutambala bali anaitwa Joyce Lomalisa Mutambala kutoka Klabu ya Bravos Do Marquis ya nchini Angola.

Bila shaka Msimu huu mtatengeneza na Jezi za Sketi na Blauzi ili Wanawake ( Binti ) na Beki wenu wa Kushoto Joyce Lomalisa Mutambala aweze Kuzivaa.
Jina si hoja
 
Halafu na wewe Popoma acha kuzingua bhana. Utafikiri hujasoma SAUT, chuo kikuu cha Ma genius!

Yaani unaoneana una mwili mkubwa! Halafu akili kisoda.
Huyu popoma Ni muongo muongo tu Hana lolote alijualo, hiyo SAUT ya kijiwe Cha kahawa labda
 
Umeishiwa hoja. Kuna majina mangapi hata watangazaji hawakuwa wanayataja ? Kuna balozi alishawahi kataliwa kisa jina..!! Haishangazi kwa Yanga

Pitia hapa

Mfano wako uliouweka unakuhukumu, tanzania ilimkataa sababu ya jina ila yanga hawakujali jina
 
Back
Top Bottom