MINOCYCLINE
JF-Expert Member
- Apr 2, 2015
- 8,018
- 16,802
Na akina Joyce au?Sema mtani hataki mchezo kajipanga
Ndio mkuu hiyo mbavu ya kushoto inaupigaNa akina Joyce au?
Joyce huyo au?Ndio mkuu hiyo mbavu ya kushoto inaupiga
Mlivyookota dodo chini mbuyu mnafikiri na msimu ujao itakuwa vile vile? Mtakuja kuzifuta hizi post zenuEndeleeni kupiga mdomo tu, tukianza kuwapelekea moto msianzee ooh GSM wanatembeza bahasha.....
Nyie hawa hawa mnaogombania wachezaji na timu iliyotoka kupanda daraja juzi?Mlivyookota dodo chini mbuyu mnafikiri na msimu ujao itakuwa vile vile? Mtakuja kuzifuta hizi post zenu
Huyo huyo joyceJoyce huyo au?
Sawa Dada Joyce.Usiseme Joyce lomalisa sema mtaalamu wa soka , maestroo octupas joyce alveira de santos paquetas de lomalisa oyoo wananchi [emoji617] [emoji617][emoji617][emoji617][emoji617][emoji617][emoji617][emoji471][emoji169][emoji172][emoji169][emoji172][emoji169][emoji172][emoji169][emoji172][emoji169][emoji172][emoji169][emoji172][emoji169][emoji172][emoji169][emoji172][emoji169]
Sawa Joyce.Nyie hawa hawa mnaogombania wachezaji na timu iliyotoka kupanda daraja juzi?
Hivi dirisha la usajili linafungwa lini? Hivi vipost vyenu vya kijinga mtakuja kuvifuta ligi ikishachanganya.Nyie hawa hawa mnaogombania wachezaji na timu iliyotoka kupanda daraja juzi?
Da Joy ana kushundu mbinukoSawa Joyce.
Biashara ya Sodo ( Pedi ) itafanyika sana Safari hii huko Machafuko Mafuriko FC kwa ajili ya akina Dada Joyce Lomalisa Mutambala.Da Joy ana kushundu mbinuko
Hahahaha mashabiki bwana yani mnavyoonge ni kama mmesajili kikosi hatari sana hapa Africa, kuna namna mpira utakuja kuwapunguzia expectations zenu hasa huko kimataifa.Ndio mkuu hiyo mbavu ya kushoto inaupiga
Mimi sio yanga ila wanafanya vzuri kwenye usajiliHahahaha mashabiki bwana yani mnavyoonge ni kama mmesajili kikosi hatari sana hapa Africa, kuna namna mpira utakuja kuwapunguzia expectations zenu hasa huko kimataifa.
Muda ni mwalimu mzuri.
Kwa akili zenu mnaamini kabisa kombe litakuja tena kwenu kiulaini, na expectations zenu kimataifa ni kubwa as if mmesajili wachezaji tishio Africa[emoji23].Nyie hawa hawa mnaogombania wachezaji na timu iliyotoka kupanda daraja juzi?