Yanga SC kwanini Jina la Mwanzo la huyu Mchezaji wenu Mpya Mkongomani mnalikwepa kulitaja?

Tunga sentensi kwa kutumia neno DEBORAH, Haya twende .......??

#YNWA
 

Na akina Joyce au?
Debora au yupi?
 
Labda kwao ni kawaida?

Binafsi nimesoma na binti anaitwa Ali.
 
tuache na debora wetu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…