Yanga SC, kwanini mnadanganya Saido ni injury? Mlipeni pesa za usajili

Yanga SC, kwanini mnadanganya Saido ni injury? Mlipeni pesa za usajili

Njia ya muongo ni fupi sana. Wiki iliyopita club ya Yanga ilitoa taarifa striker wao ana majeraha aliyoyapata Zanzibar.

Nimefuatilia taarifa za ndani sana, habari hizi hazina ukweli wowote. Mchezaji huyu anadai pesa ya usajili na kaweka mgomo.

Nimedokezwa kama angekuwa kaumia Zanzibar mapinduzi Cup, kwanini taarifa zitoke leo.
Tunaweza kuwasaidia watembeze bakuli tu [emoji1787]
 
Anatesekaje aise, na watu tumeona picha kali la trela, jamaa anafunga halafu linatoka nje kwa ghadhabu na mitusi juu ...
Angalia kwa siku anaanzisha thread ngapi zinazohusu Yanga ndio utajua anateseka kivipi,mikia mnafanya vzrklabu bingwa lkn bado hamjiamini kabisa 😂,hiyo yote sbb ya njia za panya
 
Back
Top Bottom