Yanga SC mbona Kimya si tayari Simba SC tumeshawaachieni mliyekuwa mnamtumia Kutuumiza Kipa Aishi Manula, mtamtangaza lini Kumchukua awasaidieni?

Yanga SC mbona Kimya si tayari Simba SC tumeshawaachieni mliyekuwa mnamtumia Kutuumiza Kipa Aishi Manula, mtamtangaza lini Kumchukua awasaidieni?

Manura msaliti ametuumiza sana msimu uliopita.

Yanga hawakuishia kumtumia kwenye mechi yao tu bali waliendelea kumtumia hata kwenye mechi zingine kuuza mbinu za mchezo fal a yule.

Sasa yupo free wakamsajili.
mkuu una ujinga mwingi sana ulio changanyikana na uswahili

kocha wa makipa aliyepita wa nyau alisema mechi ya simba na yanga iliyo pita alitoa ushauri manula hayuko fiti asidake akapuuzwa

tutafute aliye mpuuza ni nan sio kumlaumu manura

mmetoka kwa mangungu mnahamia kwa manura, mna shida sana mbumbumbu
 
x.jpg
 
Back
Top Bottom